chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,079
- 3,550
Kabisa mkuu Hajar anajifanya haoni huu uzi
Hajar huwa akai mbali na yanga cjui leo kaenda wapi?... Atakuja wakipiga goli
Haha wanakodoa macho tuHa ha ha ha wanapima kina cha maji kuona kama wanaweza mziki wa KMC
Hahaha vyura wanapata tabu leoHa ha ha ha wanapima kina cha maji kuona kama wanaweza mziki wa KMC
Ngoja tuone..Hawajawahi kushinda. Wao ni sare tu ndo mwendo wao.
Na iishe hivi80' KMC 0-0 Yanga uwanja wa Taifa
BoraNa iishe hivi
Wanasema mpira unadunda halafu fundi wao leo hayumo.Bado hawajaanza kwenda mikoani wanapata tabu namna hii je wakianza kwenda si itakuwa mboko mfululizo
Au Yanga ipigweBora
Nitafurahi sanaaaAu Yanga ipigwe