Tanzania Premier League 'TPL' JKT Tanzania Vs Simba SC Uwanja wa Mkwakwani

Tanzania Premier League 'TPL' JKT Tanzania Vs Simba SC Uwanja wa Mkwakwani

90+3' Wakati wowote mpira utamalizika uwanja wa Mkwakwani

Naaaaaaaam mpira umekwisha ambapo Simba imeibuka kidedea kwa mabao mawili bila majibu dhidi ya JKT Tanzania

Mabao ya MK 14, Mfumba Jicho, Meddie Kagere dakika ya 11' 38..

JKT Tanzania 0-2 Simba SC

Timu mzima ya Jf tumekuletea

Asanteni....Ghazwat
 
Asante na kwako jamani
 
Kwenye timu ya Taifa Stars,Simba ndio timu pekee yenye wachezaji 6,kwenye kila nafasi uwanjani.
Golikipa -Aishi Manula
Mabeki-Shomari Kapombe,Erasto Nyoni
Viungo-Jonas Mkude,Shiza Kichuya
Mshambuliaji-John Bocco.
Ushahidi wa timu iliyokamilika.
 
Wouzerrrr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Kwa Simba hii hata ukihamisha "machinjio" haisaidii.Utafanikiwa tu kupunguza magoli.
Bado adhabu inawasubiri Uwanja Wa Taifa.
Anaekubishia ana matatizo kwani wanatandaza soka la uhakika hata my akioga kwenye 18 ni kona kwakuwa refa anashaga pasi za hatari
 
Back
Top Bottom