nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Ndio kipa wetu huyo mkuu tutafanyaje sasaYaani huyu kipa fala shati sana
hapana mkuu mpuuzi ni kocha, huyu bwana upuuzi wa kudata kisengerema hajaanza leo nashangaa haelewi hikiLikipa senge mamaeee,
Kweli brother halafu eti ni wa kulipwa toka nje ya nchi,kocha nae hafaihapana mkuu mpuuzi ni kocha, huyu bwana upuuzi wa kudata kisengerema hajaanza leo nashangaa haelewi hiki
Mlipeni Beno hela zakehuyu kindoki atolewe aingie kabwili/benno atatuuua kwa pressure
hili huko sahihi mkuu, ila benno/Yondani kuacha kucheza kisa hela ni upuuziMlipeni Beno hela zake
Ungekuwa wewe ungeweza Miezi mitano hujalipwa? Tuache kutetea upuuzi. Yanga tumefika hapa tulipo kutokana na upuuzi wetu.hili huko sahihi mkuu, ila benno/Yondani kuacha kucheza kisa hela ni upuuzi
wacheze huku wakiendelea dai pesa zao, wanatukosea sana.
mkuu nashindwa vp kama wastaafu now wanasubiri 1yrs mafao iwe miezi mi 5 aya sasa unagoma je ndo umepata huo mshaharaUngekuwa wewe ungeweza Miezi mitano hujalipwa? Tuache kutetea upuuzi. Yanga tumefika hapa tulipo kutokana na upuuzi wetu.