Tanzania Premier League 'TPL' Mwadui FC Vs Yanga SC, Uwanja wa Kambarage, Shinyanga

hili huko sahihi mkuu, ila benno/Yondani kuacha kucheza kisa hela ni upuuzi

wacheze huku wakiendelea dai pesa zao, wanatukosea sana.
Hapana, hivi wewe ukiwa unafanya kazi afu ujalipwa miezi minne utaendelea kufanya kazi tena. Afu wakt huo huo wengine wanahitaji Huduma yako
 
Hapana, hivi wewe ukiwa unafanya kazi afu ujalipwa miezi minne utaendelea kufanya kazi tena. Afu wakt huo huo wengine wanahitaji Huduma yako
kama kutoacha kufanya kazi haileti maana naendelea tu. sasa utapata nini ukisikia wafanyakazi wengine wameendelea na kazi na wamefanikisha zoezi
 
kama kutoacha kufanya kazi haileti maana naendelea tu. sasa utapata nini ukisikia wafanyakazi wengine wameendelea na kazi na wamefanikisha zoezi
Kwa anaejitabua haki yako ya muhimu zaidi kuliko kuangalia wengine. Ni bora uache kazi ili kulinda haki yako.
Labda ka unaenda tu hujui haki yako ya msingi
 
Charles Ilanfya anakosa bao baada ya mpira kugonga mwamba..ilikuwa hatari lango la Yanga.
 
Wakati wowote mpira utamalizika uwanja wa CCM Kambarage

45' Naaaaaaaam mpira umekwisha ambapo Yanga wameibuka na ushindi wa mabao mawili kwa moja dhidi ya Mwadui FC

Mwadui FC 1-2 Yanga FC

Timu ya JF tumekuletea Mtanange huu

Asanteni....Ghazwat
 
Kwa anaejitabua haki yako ya muhimu zaidi kuliko kuangalia wengine. Ni bora uache kazi ili kulinda haki yako.
Labda ka unaenda tu hujui haki yako ya msingi
waendelee kupigania haki, wakipewa mishahara wataungana na wenzao ambao watakua wamesha ifikisha yanga kileleni
 
Wakati wowote mpira utamalizika uwanja wa CCM Kambarage

45' Naaaaaaaam mpira umekwisha ambapo Yanga wameibuka na ushindi wa mabao mawili kwa moja dhidi ya Mwadui FC

Mwadui FC 1-2 Yanga FC

Timu ya JF tumekuletea Mtanange huu

Asanteni....Ghazwat
Hongera Sana Mkuu ,hata mie niliye mbali huku ,umenifanya nifuatilie matangazo [ update] za mpira huu ushukuriwe sana Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…