Tanzania Premier League 'TPL' Mwadui FC Vs Yanga SC, Uwanja wa Kambarage, Shinyanga

Dah, mechi ya Yanga, mfungua uzi ni Simba.
Endeleeni kufungua tu, sisi Kikubwa ni pwenti tatu za uwanjani
 
ila kindoki aliye mleta afanye juhudi amrudishe alipo mtoa
Arudi aliko toka hafai
Claus Kindoki eti nae ni professional
Hata kwenye ndondo simpangi yule
huyu bwana akiachwa kikosini kuna siku atagharimu uhai wa raia flani (nikiwemo mimi)
Ni mdudu hatari akae mbari na wana yanga
Hahahaha, hizi comments zimenifurahisha Sana
 
ila yanga haiwezekani kila siku tukaendesha mambo kiujanja ujanja hivi, haya leo tumeshinda VS mwadui, iumapili tutakuwa kagera, ifike sehem tufanye maamuuzi magumu na tuwe na mifumo ya kueleweka, kama tunamkabidhi timu manji tumkabithi, kama timu tuna kimaaa nayo wanachama tukomaee nayoo tuu mwanzo mwisho, kama tunaiuza tuiuzee tuuu...
 
Mkuu, sina shida na hilo. Endeleeni tu kufungua thread mechi za Yanga. Nchi huru hii.
Ndo maana nashangaa ilhali wala si mechi moja kuleta Updates kwa Yanga

KMC na Yanga Oktoba 25, 2018 Nilileta, kwahivyo iwe Simba au Yanga nitaleta kulingana na nafasi na yeyote anaweza kuleta mkuu.

Ndo maana hata mwisho nasema timu ya JF tumeleta huu mchezo, (ushirikiano) hii ni burudani tu
 
Wenye roho mbaya utawajua tu, sie tunashukuru kwa updates
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…