Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,165
- 16,791
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara klabu ya Simba ambao ni vinara kwa pointi 81 ikifatiwa na Yanga yenye pointi 80 na Azam nafasi ya tatu pointi 68, itashuka dimbani kumenyana na Azam FC ktk mechi ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara utakaopigwa leo 13/05/2019 saa 10:00 jioni, baada ya ule mchezo wa kwanza tulishuhudia timu ya Simba ikichomoza na ushindi wa 3-1.
Simba ndio bingwa mtetezi wa Ligi Kuu Bara. Endapo wataibuka na ubingwa msimu huu, utakuwa wa 20 kwao na kushika nafasi ya pili nyuma ya Yanga ambao wamechukua mara 27.
SIMBA SC; Aishi Manula, Nicolas Gyan, Mo Hussein, Yusuph Mlipili, Erasto Nyoni, James Kotei, Jonas Mkude, Haruna Niyonzima, Emmanuel Okwi, Meddie Kagere, Clatous Chama.
SUBS; Deogratias Munish, Zana Coulibaly, Said Ndemla, Hassan Dilunga, John Bocco, Rashid Juma, Mzamiru Yassin.
AZAM: Abalora, Wadada, Bruce, Yakubu, Moris, Kingue, Domayo, Ngoma, Mahundi, Singano, Chirwa
SUBS; Mwadini, Mwasapili, Amouah, Hoza, Atta, Kutinyu, Lyanga
FULLTIME: Simba Sc 0-0 Azam Fc