Ha ha ha ha kauli za uchochezi hizoHawa Mtibwa ni wepesi kama karatasi.
Wakikusikia yangaHawa Mtibwa ni wepesi kama karatasi.
Vipi unateseka..?Kila la kheri Mtibwa! Si mnajua wenzenu Kagera vile huwafanyaga mikia!
Naomba HARUNA ndio awe wa kwanza kuongezewa mkataba...Kuwa shabiki wa simba raha sanaaaa
Mkuu kile kiporo cha wali kumbe ukinusa tv kinanukia hadi huku vibanda umiza...Exactly mkuu, Simba SC wanaupiga mpira mwingi sana kwa viwango vilivyothibitishwa na Shirikisho la Soka Afrika CAF...!
SimbaNguvuMoja
MLIPILI hata msimu uliopita alipiga kazi balaa.. dogo yuko vzryusufu mlipili ni mzuri zaidi WAWA kama akipewa nafasi
Wakumbushe Yanga kuwa hata tukilingana point bado ubingwa hambebi nyie chura.Muamala FC kafanya yao.
Kuna timu inashinda 2-1 AU 1-0.. SIMBA TUNASHINDA 3-0, 7-1.Sio tushinde moja na draw mbili! ? au tushinde mbili muhimu point 5 tu.
Nakuelewa sana ila tuna sababu gani ya kufungana point na Mbute Fc..Binafsi sitafurahia ubingwa wa kuongoza magoli ila point sawa..Kuna timu inashinda 2-1 AU 1-0.. SIMBA TUNASHINDA 3-0, 7-1.
Hivi unafikiri magoli tutalingana nao kweli?.. Bado point 4 TU
Kweli kabisaTunakila sababu ya kuongoza kwa point..kwa hesabu hizi tunahitaji mechi mbili tu kuwa na point zisizoweza fikiwa na Yanga
Manunuzi FC tayari nyie.Wakumbushe Yanga kuwa hata tukilingana point bado ubingwa hambebi nyie chura.
Sawa mkuu.. ila point 4 tu tunakuwa mabingwa, Game zitakazobaki watacheza akina Salamba + R.JUMA full time.Nakuelewa sana ila tuna sababu gani ya kufungana point na Mbute Fc..Binafsi sitafurahia ubingwa wa kuongoza magoli ila point sawa..
Tunakila sababu ya kuongoza kwa point..kwa hesabu hizi tunahitaji mechi mbili tu kuwa na point zisizoweza fikiwa na Yanga.
Usimlaum SIMBA.. mlaumu Lipuli ndie alikuwa na tiketi yenu.Manunuzi FC tayari nyie.
Mikia fc.Kama ulivyonunua kwa Azam FC na ukauza kwa Lipuli FC
Bado alama 4 tuendelee kupanda Airbus A300 nyie Vyura endeleeni kushinda kwenye maji[emoji23][emoji23][emoji23]