Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,420 Reaction score 18,298 May 20, 2019 #121 Hamna anayeweza kuwasikiliza wanalalamika kila kitu 3llyEmma said: Kabisa.. Yanga wataenda CHAN kukata rufaa Click to expand...
Hamna anayeweza kuwasikiliza wanalalamika kila kitu 3llyEmma said: Kabisa.. Yanga wataenda CHAN kukata rufaa Click to expand...
SPECIAL TMN JF-Expert Member Joined Jan 3, 2014 Posts 1,111 Reaction score 807 May 20, 2019 #122 Tajiri kashasema kiporo hakichachi maana kuna mafriji kama yooote.
Your Majesty JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 3,242 Reaction score 5,345 May 20, 2019 #123 samakinchanga said: Ni mara ya ngapi wewe mbumbumbu fc mpesa Click to expand... Sikiliza wewe Chura fc, msimu uliopita walipochukua Simba ilikuwa ni mara ya 19 na msimu huu wakichukua itakuwa ni mara ya 20.
samakinchanga said: Ni mara ya ngapi wewe mbumbumbu fc mpesa Click to expand... Sikiliza wewe Chura fc, msimu uliopita walipochukua Simba ilikuwa ni mara ya 19 na msimu huu wakichukua itakuwa ni mara ya 20.