Mnajitekenya na kucheka wenyewe
Kalifunga kwenye matumbawe ya zenji?Goaaaaaaaaaaaal Ali Kina anaipatia Coastal Union goal la pili.....
Wameuza mechi washenzi hawaGoooooooooal Cloutos Chota Chama 'Triple C' mwamba wa Lusaka anaipatia Simba goli la 8
Simba 8-1 Coastal Union
Rafiki huu sasa ni udhalilishaji tunaowafanyiaKipigo cha mbwa koko
#NguvuMoja[emoji123]
#ThisIsSimba
Wameongezewa na cha kulalia
Rafiki huu sasa ni udhalilishaji tunaowafanyia
Nawee umo kumbe!Kipigo cha mbwa koko
#NguvuMoja[emoji123]
#ThisIsSimba
Shukrani kwa updates mkuu93' Mpira umekwisha Simba Sc 8-1 Coastal Union
Okwi na Kagere wamepewa mipira yao, tukutane siku nyingine.
Asalam aleyqum
Ubarikiwe mnoo mkuu..!93' Mpira umekwisha Simba Sc 8-1 Coastal Union
Okwi na Kagere wamepewa mipira yao, tukutane siku nyingine.
Asalam aleyqum
Hatimaye comment ya Zahera hii hapa.Wameuza mechi washenzi hawa
Nawee umo kumbe!
Ila badili profile photo! Huzuni yanini sku zote?
Wataambia nini wanaTANGA???
Mbona na nyie mlituuzia pale taifa na hakuna aliewauliza!?Wameuza mechi washenzi hawa