Tanzania Premier League (TPL) Simba VS Coastal Union....Uhuru Stadium ( Shamba la Bibi)

Mwenye chat ya wafungaji bora aweke
 
Jana mmefanya jambo moja kubwa sana kwenye historia ya mpira hata sisi tuliowapinga tumeinamisha kichwa chini na kuwaunga mkono.

Sana mkuu, haielezeki

Binafsi sikutarajia hata 2 - 0, mawazo yangu yalikuwa 2 - 2 au tunapigwa 3 - 2.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…