Dah leo Simba wamefurahisha hadi wakaanza na kunikera kwa matendo yao yasiyo kuwa ya kibinadamu.
Hvi haki za binadamu wako wapi? ?Wanaachaje unyama wote huu kutokea.
Yaani nilishapoteza matumaini, nikawa naomba tu tusifungwe Anfield.
Naona vijana wa Katalunya walikuja kutalii Liverpool.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]gundu kama la watangazaji wa clouds[emoji125][emoji125][emoji125]
Hongereni bhana japo nimeumia sana
Watangazaji wa clouds wana gundu?[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila bora hata wametoka na kimoja cha kuwarudi Tanga
Zilivyofika goli 3 nilikukumbuka sana nikasema vile ulikuwa unanibembeleza imetokea.
Wewe ni zawadi yangu ya ushindi, asante sana.
Sana mkuu, haielezeki
Binafsi sikutarajia hata 2 - 0, mawazo yangu yalikuwa 2 - 2 au tunapigwa 3 - 2.
Hahaha bora aisee,wangetoka bila hata kamoja wangeona dunia yote imewatenga.
Issa maeda peke yake ndio hana gundu. Wengine wote wakitabiri hivi...matokeo yanakuwa mengine. Mimi kwenye mkeka naweka tofauti nao. Maana hawapatiagi.
Sijui wanatuuzaga makusudi. Maana wengi pale mawakala.
Najishangaa ujue nabembeleza na kufariji adui
Ila sio mbaya simba wanazidi kunifariji manake kule kwingine ndio basi tena
Nina uhakika mapenzi hawayawezi[emoji23][emoji23]Ifike mahali kila mtu ajue nafasi yake katika jamii
Tanga yao mapenzi...hebu ona sasa huku mpirani wanavyojiaibisha [emoji16][emoji16]
Dah ile Comeback si ya mchezo!! naona hata ile ya 2005 haifui dafu mkuu.
Ndiyo umuhimu wa ku-diversify huku kukizingua kwingine kunakupa faraja.
Ila nilikuwa ovyo juzi baada ya Leicester kuzingua kwa City. Bora jana vijana wameniokoa.
Kimbembe kote kukiwa hovyo
Imagine shabiki wa yanga mixer united!
Ila mie kuanzia msimu ujao nna mpango wa kuacha kufatilia hizi mambo kama nitaweza...nimechoka stress aseee
Timu zikiwa zinazingua unajikuta automatically unapunguza tu, mimi presha huwa inakuwepo timu inapokuwa inafanya vizuri, ila ikiwa inazingua nachukulia kawaida maisha yanasonga.
Jipe mentality ya kwamba ikifungwa wamefungwa wao, ikishinda mmeshinda nyote.
Kuna watu pia waliuza mechi kwa lipuli.juzNadhan Hawa watakuwa wameuza kwa bei mbaya sana,watakuwa wamepewa mkwanja mrefu.....
Hiyo nishajaribu mara nyingi ila bado inauma...sisi tumeanza kuharibu muda mrefu ila hadi sasa inauma siwezi kuchukulia kawaida
Dawa ni kuacha kufatilia ila ndio sijajua how