Tanzania Premier Leaguer (TPL).... Ruvu Shooting wakiwakaribisha Young Africans uwanja wa Uhuru, Dar es salaam

67' Yanga wanafanya mabadiliko, anatoka Rafael Daud, anaingia Thaban Kamusoko
 
70' Ruvu Shooting 0-1 Yanga
 
71' Abdallah Shaibu anamfanyia foul Emmauel Martin
 
Yanga ,hebu ongozeni kwa muda ligi leo lakini kesho mtarudi kuwa nafasi ya pili na ubingwa ndio msahau kabisaaaaa msimu huu
 
73' Kevin Yondani yupo chini anagangwa na watu madaktari.
 
77' kadi ya njano kwa Tumba Swedi wa Ruvu Shooting baada ya kumchezea vibaya Papii Tshishimbi
 
80' Ruvu Shooting 0-1 Yanga
 
83' Tumba Swedi anampigia pasi kwenda kwa Emmanuel Martin lakini anakuwa tayari ameotea.
 
84' mabadiliko kwa timu ya Yanga, anatoka Deus Kaseke, Anaingia Said Makapu

84' mabadiliko kwa Ruvu Shooting, anatoka Tumba Swedi, Anaingia Damas Makwaya
 
Makambo katoa assit nzuri Shishimbi kazingua ilikuwa iwe la pili
 
89' vijana wa timu ya Ruvu Shooting wamelizonga lango la Yanga kwa dakika hizi za lala salama.
 
90' fourth official ameongeza dakika 4 kabla mchezo haujamalizika.
 
92' kadi ya njano kwa Herithier Makombo kwa kumchezea vibaya mchezaji wa Ruvu Shooting
 
96' Edward Manyama anapiga shuti kali linaokolewa na Klaus Kindoki inakuwa kona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…