With such thinking, I bet all rubbish going on in Tanzania you deserve them. I mean you don't need redemption, until you reach political and academic maturity. Do you know the value of life???, How sensitive is life of somebody???
What do u mean by with such thinking? I have not de-valued the value of life. On paper, it sounds good kusema watu wawajibike, lakini tumia common sense (but i guess it can't be common kama wengi hawana). Nchi ngapi wewe umeona mkuu wa majeshi, (General) anaachia ngazi kirahisi hivyo? That is a sensitive position kwa nchi nzima na hasa serikali tawala. Au kwa sababu jeshi la TZ limekaa kimya ndo mnaona ni mafala. Ulizeni nchi kama Nigeria maana ya jeshi. Unaleta ujinga hapa. Kwanza i bet hiyo milipuko ilishtua ikulu, wakidhani mambo yamewageukia. Sema ni vile tu hawawezi kusema hivyo.
Pili kuna kitu kinaitwa natural justice, huwezi kuamka asubuhi na kumfukuza mtu kazi kwa sababu unazozitaja mwenyewe. Ndio maana hata Lowassa yeye aliamua mwenyewe tu kutoka, hakutolewa na serikali. I dont think you understand public law.
Tatu, position ya rais sio kama ya Waziri mkuu uingereza. Wewe umeshaona ma-rais wangapi wanawajibika? Marekani yenyewe ni Nixon tu kwenye ishu ya watergate. Uingereza ni mfalme mmoja alipotaka kumuoa mkatoliki, ndo akaingia babake elizabeth. These cases are rare. Na wewe ukitegemea hivyo, with your so called political and academic maturity utaumia.
Narudia tena, katika mfumo wetu sisi wa utawala, ni vigumu kwa rais kuwajibika. As an elected head of state, huwajibiki kirahisi, ama sivyo italeta matatizo mengi kikatiba.
Conclusion: mtu anapowajibika lazima kwanza afanye assessment of the whole situation. Atajiuliza: What happened? How did it happen? What were the consequence of it? How could I have (under my position) prevented it?
Kama unaona wewe ndo direct cause, then unatakiwa kujitoa. Sio unaamka asubuhi na kusema...wajibika, wajibika...kha! Mnakuwa kama makondoo kufuata mkumbo tu.