National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Azamu watawaoa mapema kabisaa, mlambe pipi ya kijiti ya maziwa 🤠🤠🤠.. Nimekaa paleTutawafumua najua mnajua lakini
Hatuwezi fungwa na wanyakyusa, yani watupandishie mchele bei halafu tuwaache?NAANGALIA UCHAMBUZI HAPA KUMBE KIBU MPIRA KAUPIGIA NJE BWANA MAKOLO MMESHINDA MGOLI WA MCHONGO
Nasikia mwaisa Asukile kaingia na raba kubwaaa ila ndo hazijafanya kazi yaaani.Habari mbaya kwa simba ni kua Benjamin Asukile ni mzima wa afya..
Wajela jela hawajawahi kuniangusha.
Huwa wanapiga pale pale kwenye ule mfupa unaouma.
Tz prisons 1-0 Simba..
😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tuki draw hii Mechi Management Ya Simba Itatuambia Vizuri
Sisi tuta amini vipi kama wachezaji wenu hawapo?Yani kutufunga mara 2 tena kwenye mechi ambazo wachezaji muhimu wali miss ndio imekuwa wimbo?
Unaelewa kwanini kabla ya mechi, yule mamluki alionekana kwenye hoteli ambayo Simba wali rent?
Unaelewa ule mpira ulikuwa based on betting na sio ubora?
Hapa tushike lipi ubora, betting, hujuma au wachezaji wenu hawakuwepo?Yani kutufunga mara 2 tena kwenye mechi ambazo wachezaji muhimu wali miss ndio imekuwa wimbo?
Unaelewa kwanini kabla ya mechi, yule mamluki alionekana kwenye hoteli ambayo Simba wali rent?
Unaelewa ule mpira ulikuwa based on betting na sio ubora?
Na hakuna kitu kigumu kama kuwaaminisha wana Yanga jambo ambalo linapingwa na ManaraSisi tuta amini vipi kama wachezaji wenu hawapo?
Usishike chochote, shika yale ambayo Manara ameyasemaHapa tushike lipi ubora, betting, hujuma au wachezaji wenu hawakuwepo?
Hujuma ya wazi kabisa hiiHii ilipaswa kuwa Penalty mwamuzi Arajiga anapoteza umakini
Golikipa Abel Hussein mpira ulishavuka yeye akacheza mguu wa Phiri.View attachment 2356919
Kwakweli ni hujuma
Anajifanya leo ndo yuko makiniHii ilipaswa kuwa Penalty mwamuzi Arajiga anapoteza umakini
Golikipa Abel Hussein mpira ulishavuka yeye akacheza mguu wa Phiri.View attachment 2356919
Lazima muumieKarma is a bitchView attachment 2356947
Naona hii review ya kimchongoKwakweli ni hujumaView attachment 2356941
Tukutane October 23Naona hii review ya kimchongo