Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Sep 14, 2022 #301 ukikaidi utapigwa2 said: Tukutane October 23 Click to expand... Sawa mkuu..
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Sep 14, 2022 #302 Kibu alisukumwa nje japo alikua ameshapiga mpira nimeangalia hilo bao. Ndo hivyo tena point 3 tayari wenye kujinyonga kamba ninazo natoa buree.
Kibu alisukumwa nje japo alikua ameshapiga mpira nimeangalia hilo bao. Ndo hivyo tena point 3 tayari wenye kujinyonga kamba ninazo natoa buree.
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Sep 14, 2022 #303 Wachawi wameshindwa kutoboa
M Mshughulishaji JF-Expert Member Joined Sep 29, 2015 Posts 1,351 Reaction score 1,875 Sep 14, 2022 #304 OKW BOBAN SUNZU said: Wachawi wameshindwa kutoboa Click to expand... Wale Silent Ocean wanajisikiaje huko waliko wawape tu hiyo milioni kumi ya gsm na kipindi hiki watapigwa tu pamoja na upuuzi wao wa kukamia match za Mnyama
OKW BOBAN SUNZU said: Wachawi wameshindwa kutoboa Click to expand... Wale Silent Ocean wanajisikiaje huko waliko wawape tu hiyo milioni kumi ya gsm na kipindi hiki watapigwa tu pamoja na upuuzi wao wa kukamia match za Mnyama
Mzee Wa Kazi Chafu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2022 Posts 2,245 Reaction score 4,966 Sep 14, 2022 #305 Lupweko said: Azam nzuri kabisa ya akina Razak Abarola tulipiga nne Click to expand... Ahaa Sasa Ngoja…Hii Ni Ya Edigno Na Kipre junior [emoji28]
Lupweko said: Azam nzuri kabisa ya akina Razak Abarola tulipiga nne Click to expand... Ahaa Sasa Ngoja…Hii Ni Ya Edigno Na Kipre junior [emoji28]