Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
UsikimbieHabari mbaya kwa simba ni kua Benjamin Asukile ni mzima wa afya..
Wajela jela hawajawahi kuniangusha.
Huwa wanapiga pale pale kwenye ule mfupa unaouma.
Tz prisons 1-0 Simba..
Azizi Ki anakusalimiaNaona wachawi mmeingia
Mechi moja?Azizi Ki anakusalimia
Unataka ngapi?Mechi moja?
NyingiUnataka ngapi?
Amina!Timu yeye viwango vya CAF inarudi uwanjani kusaka alama tatu muhimu
Kila la heri Mnyama Mkali Mwituni
leo kaanzia sub ebu tuone maana hata yule under 20 onyango naye kaanzia benchHivi Simba Huwa Tunasajiri Wachezaji Kufurahisha Mashabiki? Kwanini Wachezaji walio sajiriwa kwa Pesa nyingi Huanzia Bench?
Mchezaji Kama Okwa Au Okrah Ni wa Kukaa bench Mechi 2 mfululizo?
GSM kupitia kampuni yenu tanzu ya Silent Ocean mnaanza kuzihonga timu zinazocheza na SIMBA ili watoe draw au waifunge simba