Tanzania Prisons 0-1 Simba | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Sokoine | 14/09/2022

Viongozi wa Simba waturudishie Aussems, hii timu sasa hivi inacheza mpira ile brand ya utopolo ambayo hatujaizoea, ndio maana magoli yanachelewa kupatikana, tunahitaji kocha wa kuturudishia ile brand yetu, na simuoni mwingine wa karibu zaidi ya Aussems.

Aje kututengenezea na vijana wetu, namkumbuka Miraji Athuman na yale magoli yake sijui alipotelea wapi yule dogo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…