Tanzania Prisons 0-1 Simba | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Sokoine | 14/09/2022

Ngoja kwanza ni log off. Simba ikifunga ntarudi ikifungwa basi nitafute kwanza Malta mbili nije na nguvu za kuwakabili utopwinyo mana uzi utakua wao. Hahahah
Lazima mkimbie uzi... Hamna timu yakushindana na sisi.. Leo tupo hapa tumeweka kambi paka kieleweke
 
Ngoja kwanza ni log off. Simba ikifunga ntarudi ikifungwa basi nitafute kwanza Malta mbili nije na nguvu za kuwakabili utopwinyo mana uzi utakua wao. Hahahah
Mnaenda ongeza uchawi 🤠🤠🤠 imo ndani hamtoi na hamtoki..
 
Kipindi cha pili kimeanza uwanja wa Sokoine, dakika za lala kwa buriani

Huku Simba wakifanya mabadiliko Ameingia Kibu badala ya Kyombo

Tanzania Prisons 0-0 Simba SC
 
Naona kolo wanalilia penalty,refa asitoke nje ya uwanja anaweza pewa bahasha akatoa penalty
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…