Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Huyu refa mimi nashindwa kuelewa TFF wamlimpaje u refarii bora. Anafanya uamuzi kama mwamuzi amature kabisaImepetwa hiyo
Advance wamepata?Prison hiyo mil 20 itawauwa
kivipi mkuuAcha uzushi
Acha kulilia penati.. wanaume hawalilii magoli ya penati wewe.. mpira umeujulia wapi weweKwako magoli halali ni yapi? Tumia akili kama mtu anayefahamu mpira sio ushabiki utopolo muda wote.
Ila mkinyimwa nyie, kelele mpaka kwa Samia..Acha kulilia penati.. wanaume hawalilii magoli ya penati wewe.. mpira umeujulia wapi wewe
Kwaio nanyie mnalilia Leo penati[emoji848][emoji848][emoji848].. Na mnataka kucheza caf champions league semi final?? Baghoshaa[emoji1][emoji1][emoji1]Ila mkinyimwa nyie, kelele mpaka kwa Samia..
Tulia utopolo ,na mwiko wako uliopo nyumaMakolo yanalili penati
Kama ni halali kwanini tusipewe...vipi uto???Kwaio nanyie mnalilia Leo penati[emoji848][emoji848][emoji848].. Na mnataka kucheza caf champions league semi final?? Baghoshaa[emoji1][emoji1][emoji1]
acha kulilia mbelekoTulia utopolo ,na mwiko wako uliopo nyuma
Huo ni uongo babe mamaSisi tunawekeza kimataifa hizi ligi za ndani hatutaki kujichosha kama watu fudenge.