Tanzania Prisons 1-2 Yanga Sc | Uwanja Wa Mandela | Ligi Kuu Tanzania Bara

Tanzania Prisons 1-2 Yanga Sc | Uwanja Wa Mandela | Ligi Kuu Tanzania Bara

Yanga Tunapeleka Motoooo....[emoji95][emoji95][emoji95]
 
Mpira ni half time yanga akiwa mbele kwa bao 2 kwa 1 mabao ya Feisal na Dr Khalid aucho.
 
Nasikia game ya kagera vs Simba iliyoahirishwa wamefikia makubaliano ichezwe Dar es Salaam😀😁
 
Sikiliza uchambuzi, zuzu wewe.
Mchambuzi ni Barbara au mwingine?! Hivi TZ Kuna wachambuzi kweli?!
Wanakariri maneno ya kiingereza na kutafsiri kwa Kiswahil....kushinda utasikia tumepata matokeo...
Very stupid...In English wanasema results na wenyewe wachambuzi wanaiga tumepata matokeo...hawaendelei kufafanua Kama ni matokeo ya sare au ushindi au vinginevyo...
 
Kwamba mbali na uchambuzi, hujaona kama foul alivyocheza Dickson job ilistahili red card ??
 
Mbali na kuwa mshabiki wa Simba mimi pia ni mshabiki mzuri wa michezo hivyo siwezi kuwa na ushabiki wa hovyo na wa kipumbavu kama mlionao majority wa utopolo fc.
Vizuri dawa imekuingia barabara
 
Heritier makambo anawalazimisha mazuzu wamshangilie na yenyewe ilivyo ya hovyo inashangilia kweli, ikumbukwe mpaka dk hii makambo anazurula tu uwanjani hajafunga na hana kashi Kashi yeyote pale mbele kwa kifupi ni kama hayupo.
 
Mpaka dk hii ingekua prisons bado anaongoza basi tungeshuhudia penalty na red card ambayo ingekosa majibu kama ilivyokua kwa Namungo ila thanks to God mazuzu yapo mbele kwa tofauti ya bao moja ndo maana mpaka dk hii boli bado lina flow smoothly.
 
Back
Top Bottom