Tanzania Prisons 1-2 Yanga Sc | Uwanja Wa Mandela | Ligi Kuu Tanzania Bara

mkuu ugonjwa hauna alarm ,hata wewe tunaweza kukuona humu JF ujibu sahizi lakini masaa kadhaa ukaumwa ,wachezaji 16 wanaumwa ,je unapoingiza wagonjwa uwanjani hata wale nafuu una uhakika wengine watamaliza mechi ? Kwenye 22 ukitoa 16 wanaoumwa wanabaki wachezaji 6 ,na Dar waliobaki ni majeruhi ,Sasa mchezo ungeendeleaje ? Ndo maana FIFA wanasema health first.
Na hata yanga pia walikuwa wanaumwa lakini wamecheza,
Naona tuishie hapa tusubiri wapone sijui itakuwa lini, mcheze kiporo chenu.
 
Wachezaji walifika wachache wakionesha dalili, ikafanyika press na wakakubaliana kuwa mechi itachezwa kwani waliobaki wanajitosheleza siku iliyofuata mazoezini wakaongezeka, kati ya 22,16 wakapata ugonjwa na kisheria chini ya wachezaji 7 mechi haichezwi.

Kama kuna mashabiki wa mpira wenye maisha magumu basi ni yanga, hivyo huo mchangi wako ni vyema ukapika ule na mkeo na watoto wako, wema usizidi uwezo.
Kwetu raha tuna jiamini na ndio maana tumecheza leo.

Kwa hiyo mtakaa siku 14 bila kucheza?

Nyie juzi mlisema mnataka michango, mimi nina debe mbili za mounga kutoka Mbeya na Jogoo, acha hasira ni elekeze ili ni ufikishe mzigo wangu wa kuichangia timu yenye kikosi kipana.
 
Mpaka sasa michango iliyopatikana nchi nzima ni 5200/Tsh..

Kweli simba tutajenga uwanja au kiota cha ndege?
 
Kwetu raha tuna jiamini na ndio maana tumecheza leo.

Kwa hiyo mtakaa siku 14 bila kucheza?

Nyie juzi mlisema mnataka michango, mimi nina debe mbili za mounga kutoka Mbeya na Jogoo, acha hasira ni elekeze ili ni ufikishe mzigo wangu wa kuichangia timu yenye kikosi kipana.
uza hivo vitu halafu utume kwenye tigo au mpesa ya Simba
 
Michango inendelea, afu uwanja ni wa Mo.
IMG-20211219-WA0003.jpg
 
uza hivo vitu halafu utume kwenye tigo au mpesa ya Simba
Sina account ya tigo pesa wala m-pesa,ila nina debe mbili za mpunga na jogoo langu,ili ni ichangie timu yenye kikosi kipana.
 
ikabidi kwa viongozi wa tawi mchango wako utafikishwa makao makuu
 
Ila kucheza na Prison inahitaji ujanja sana , unatuliza mpira halafu mtu anakuja kama faru anawabutua wote pamoja,au ndo walivyofundishwa kwamba mkicheza hivo wapinzani watawaogopa?
 
Yanga wameamua kucheza mind game na kuwadanganya prisons kuwa key players wao wagonjwa kumbe wote wazima, hii inaonyesha ni namna gani yanga ni underdog na waoga wakubwa.
Waoga ni wale walioikimbia mechi yao jana. YANGA wamesema wanaumwa. Lakini bado wamesema wanacheza. Huo ndio uanaume. Sio majike ya jana. Watu wametoka zao Uganda kuja kushuhudia kipute. Wameingia kabisa uwanjani,majike yameweka mpira kwapani. Mmetia aibu
 
Naomba kujua elimu yako kama hutojali.
 
Back
Top Bottom