Tanzania Prisons 1-2 Yanga Sc | Uwanja Wa Mandela | Ligi Kuu Tanzania Bara

Tanzania Prisons 1-2 Yanga Sc | Uwanja Wa Mandela | Ligi Kuu Tanzania Bara

Hao wachezaji 6 haiwezekani kuwa replace si mnao wengi 6 kati ya 22?

Sasa kama ndio hivyo kwanini msingebaki dar haingii akili muende mpaka bukoba halafu msijue kama Kuna wagonjwa..
Team yenu ya madokta ni mbovu?

Au mmekimbia kwa kuwa Mmezoea viporo.

Pole kwa kuharisha.
Lazima waugue ni ngumu ucheze na Yanga imeshiba utoe draw
 
Leo mimi pamoja na kuwa ni Yanga lialia ila sina budi kushangilia timu yangu ya nyumbani kwangu
Mwanjelwa.
Linapofika swala la nyumbani sisi Wasafwa ni lazima tuliongezee nguvu ya ushindi.
Mwagona
 
Sio dhidi ya timu dhaifu kama prisons.
Leo hii unasema Prisons timu dhaifu, umesahau shuguli yake unayokutana nayo? Msimu uliopita umechomoa jioniii tena wakiwa wako pungufu. Na mlisherekea sana ile kuchomoa goli hamkuamini
 
Wachezaji walibaki 6,na kisheria za fifa hakuna mechi kuchezwa chini ya wachezaji 7.
Inawezekana mechi imehairishwa sababu ya wachezaji wa Simba kuwa wagonjwa, ila sidhani kama ni kweli wamefika wachezaji zaidi ya 10 kuumwa. Inawezekana tu uongozi wa Simba imeweka kizingizio cha idadi kubwa ya wagonjwa ili mechi ihairishwe kutokana na wachezaji kadhaa tu ambao ni wa muhimu kuwa ni wagonjwa.
 
Leo hii unasema Prisons timu dhaifu, umesahau shuguli yake unayokutana nayo? Msimu uliopita umechomoa jioniii tena wakiwa wako pungufu. Na mlisherekea sana ile kuchomoa goli hamkuamini
Prisons imetoka kuchapwa 3-0 na Biashara FC hapo hapo Nelson Mandela
 
Wanatumia nguvu nyingi bila akili.........wanaongea ujinga mwingi kabla ya mechi........wakipigwa visingizio kibao
 
Prisons imetoka kuchapwa 3-0 na Biashara FC hapo hapo Nelson Mandela
Sio ajabu hilo kwa timu ndogo kukamia timu kubwa lakini kwa wadogo wenzie anapigwa kilaini tu. Au mkuu hilo hulijui?
 
Yanga wameamua kucheza mind game na kuwadanganya prisons kuwa key players wao wagonjwa kumbe wote wazima, hii inaonyesha ni namna gani yanga ni underdog na waoga wakubwa.
Endelea kuteseka........Jana Mkude, Ajibu wapo wanakula bata, mikia mnaacha mechi game kwa umbumbu tu
 
Back
Top Bottom