Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii roho mbaya ukizeeka unakuwa mchawi KOLO wewePrison 3-1 Uto Fc
Tena ni Dr hasaaaMpira ni half time yanga akiwa mbele kwa bao 2 kwa 1 mabao ya Feisal na Dr Khalid aucho.
Mbona hujampa sasaClear red card kwa Dickson job
Kwenye mechi kama hizi Aucho ni mbaya sanaDaktari wa mpira Khalid Aucho
Sikiliza uchambuzi, zuzu wewe.Mbona hujampa sasa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Piga haooooo
Mchambuzi ni Barbara au mwingine?! Hivi TZ Kuna wachambuzi kweli?!Sikiliza uchambuzi, zuzu wewe.
Hadi kolo limekubali mapigoMpira ni half time yanga akiwa mbele kwa bao 2 kwa 1 mabao ya Feisal na Dr Khalid aucho.
Kwamba mbali na uchambuzi, hujaona kama foul alivyocheza Dickson job ilistahili red card ??Mchambuzi ni Barbara au mwingine?! Hivi TZ Kuna wachambuzi kweli?!
Wanakariri maneno ya kiingereza na kutafsiri kwa Kiswahil....kushinda utasikia tumepata matokeo...
Very stupid...In English wanasema results na wenyewe wachambuzi wanaiga tumepata matokeo...hawaendelei kufafanua Kama ni matokeo ya sare au ushindi au vinginevyo...
Mbali na kuwa mshabiki wa Simba mimi pia ni mshabiki mzuri wa michezo hivyo siwezi kuwa na ushabiki wa hovyo na wa kipumbavu kama mlionao majority wa utopolo fc.Hadi kolo limekubali mapigo
Vizuri dawa imekuingia barabaraMbali na kuwa mshabiki wa Simba mimi pia ni mshabiki mzuri wa michezo hivyo siwezi kuwa na ushabiki wa hovyo na wa kipumbavu kama mlionao majority wa utopolo fc.
Jana mmeumwa. Mara msingizie mabango. Kwenye huu uzii najua mtajaa wenyewePrison 3-1 Uto Fc