Tanzania Prisons FC imehama Mbeya kupisha ukarabati wa hosteli

Tanzania Prisons FC imehama Mbeya kupisha ukarabati wa hosteli

nguvu

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2013
Posts
22,976
Reaction score
22,564
Timu ya TZ PRISON imehama kutoka kutumia uwanja wa sokoine jijini mbeya hadi kutumua uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga mkoa wa Rukwa, uwanja wa Nelson Mandela ndio ulitumika kwenye fainali zilizopita za kombe la Azam Federation

2489134_IMG-20200816-WA0021.jpg
 
Timu ya TZ PRISON imehama kutoka kutumia uwanja wa sokoine jijini mbeya hadi kutumua uwanja wa Nelson Mandela mjini sumbawanga mkoa wa Rukwa, uwanja wa Nelson Mandela ndio ulitumika kwenye fainali zilizopita za kombe la Azam Federation
Mkuu ujaeleza sababu
 
Lete habari yote
 
Binafsi naona poa maana mbeya kungekuwa na timu tatu ligi kuu pia kwa sumbawanga kule watu bado washamba kila mechi watajaa uwanjani
Kwamba kujaa uwanjani kuangalia kila mechi ni ushamba?
 
Binafsi naona poa maana mbeya kungekuwa na timu tatu ligi kuu pia kwa sumbawanga kule watu bado washamba kila mechi watajaa uwanjani

Wewe Sumbawanga kuna washamba ?
 
Hapana kuna wachawi, swashamba wapo katavi

Hapo sawa kwa maana sasa hivi kipindi cha uchaguzi sumbawanga ni full wageni kwa sauti ya chini hadi CCM mpaka sasa wanasubiri jibu toka
sumbawanga lini watangaze wagombea wao
 
Back
Top Bottom