Tanzania railway corporation (TRC) kitengo chenu cha IT kinachanganya wateja (wasafiri)

Tanzania railway corporation (TRC) kitengo chenu cha IT kinachanganya wateja (wasafiri)

ROOM 47

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2022
Posts
2,301
Reaction score
7,460
Kitengo cha IT kinacho shungulika na kuratibu mambo ya kuweka ratiba za train kutoka sehemu moja kwenda nyingine kimekuwa mwiba(kichomi) kwa wateja ambao wanatumia website za TRC kupata hudumu za tiketi.

Kwanza kabisa kumekua na tatizo la usumbufu wa Internet katika website zao yaani kupata tiketi online imekua inshu kabisa.

La pili muda sahii wa kuweka ratiba za train za kutoka dar es salaam kwenda Kigoma, Mwanza, Tabora na Dodoma umekua unashaka kwani tiketi za train ya kuondoka alhamis yaani deluxe train ratiba zake hua wanaweka siku ya jumanne saa mbili asubui lakini ndani ya dakika 5 tu kuaniza kuwekwa kwa ratiba unaambiwa tiketi zimeisha au kunajanja janja.

La tutu kemekua na uchanganyaji ratiba za kusafiri kutoka dar es kwenda kigoma ,tabora,mwanza kwenye train ya jumapili kwa mfano leo katika kupitia website zao nimekuta hakuna train ya jumapili ya tarehe31/07 ila ipo train ya 06/08 ambayo pia kwa tarehe hii ya inaangukia siku ya jumamos na sio jumapili au ratiba za kuondoka train zimebadilika sio tena jumapili ni jumamos.

Screenshot_20220727-133405.png

Angalizo: tunaomba uongozi wa TRC ufatilie hili tatizo kwa makini sabubu sio la siku moja bali linajirudia mara kwa mara kwaiyo imekua kero kwa wateja ambao hutumia hudumu hii ya kukata tiketi kupitia online hivo tunaomba utatuzi wake.
 
Kitengo cha IT kinacho shungulika na kuratibu mambo ya kuweka ratiba za train kutoka sehemu moja kwenda nyingine kimekuwa mwiba(kichomi) kwa wateja ambao wanatumia website za TRC kupata hudumu za tiketi.
Kwanza kabisa kumekua na tatizo la usumbufu wa Internet katika website zao yaani kupata tiketi online imekua inshu kabisa.
La pili muda sahii wa kuweka ratiba za train za kutoka dar es salaam kwenda kigoma,mwanza,tabora na Dodoma umekua unashaka kwani tiketi za train ya kuondoka alhamis yaani deluxe train ratiba zake hua wanaweka siku ya jumanne saa mbili asubui lakin ndani ya dakika 5 tu kuaniza kuwekwa kwa ratiba unaambiwa tiketi zimeisha au kunajanja janja.
La tutu kemekua na uchanganyaji ratiba za kusafir kutoka dar es kwenda kigoma ,tabora,mwanza kwenye train ya jumapili kwa mfano leo katika kupitia website zao nimekuta hakuna train ya jumapili ya tarehe31/07 ila ipo train ya 06/08 ambayo pia kwa tarehe hii ya inaangukia siku ya jumamos na sio jumapili au ratiba za kuondoka train zimebadilika sio tena jumapili ni jumamos.
Angalizo.. tunaomba uongozi wa TRC ufatilie hili tatizo kwa makini sabubu sio la siku moja bali linajirudia mara kwa mara kwaiyo imekua kero kwa wateja ambao hutumia hudumu hii ya kukata tiketi kupitia online hivo tunaomba utatuzi wake.
doh sku hizi treni unakata ticket online? sijui hili inakuwaje
 
Poleni sana, mambo ya serikali ndivyo yalivyo...
 
Back
Top Bottom