Tanzania ranked eighth tourist performer in Sub-Saharan Africa
thecitizen.co.tz Oct 9, 2019 3:00 PM
Dar es Salaam. Tanzania has been ranked eighth in the 2019 edition of the travel and tourism competitiveness report which is published by the World economic Forum.
Sub-Saharan Africa outpaces the global average for growth in tourism receipts and arrivals, with the island nation of Mauritius (54th) outscoring last yearβs top performer South Africa (61st) to rank as top scorer in the region.
The last monthly collection was 1.7 T, Tanzania pays civil servants 400B monthly which is so far its biggest expenditure chunk, what do you expect 1.3 T would have been going? Probably bigger portion will be invested to the development projectsREDEEMER ndio maana unaambiwa any data from CCM regime is mostly cooked., eti $2.7B., while Kenya is $1.5B., haiwezekani hataaa., CCM ingeweza ku finance national budget fully, run gov't programs smoothly, pay civil servants and manage its projects., lakini wapi., vyanzo vyenyu vya kutega Uchumi havitoshelezi mahitaji rasmi ya nchi, ukiondoa development projects.,
REDEEMER ndio maana unaambiwa any data from CCM regime is mostly cooked., eti $2.7B., while Kenya is $1.5B., haiwezekani hataaa., CCM ingeweza ku finance national budget fully, run gov't programs smoothly, pay civil servants and manage its projects., lakini wapi., vyanzo vyenyu vya kutega Uchumi havitoshelezi mahitaji rasmi ya nchi, ukiondoa development projects.,
Hahaha hujui kama hao ni nyumbu?Bado vyuma vinakaza...the comments are hilarious πππ
Jukwaa la siasa linakupa picha halisi ya ugumu wa mwananchi wa Tz.
Viwanda 4,000 anavyovisema Rais Magufuli Vimejengwa Wapi?
Rais anasema ndani ya miaka minne wamejenga viwanda zaidi ya 4000 hiyo ni wastani wa viwanda 1000 kwa mwaka na 3 kwa siku, mimi najiuliza hivi viwanda vimejengwa wapi? Mbona vijana wanataabika mtaani? Hivi process ya ujenzi wa kiwanda kimoja inachukua muda gani? Je, kiwanda kimoja kilicho na...www.jamiiforums.com
Eka substaintiated counter figures zakoREDEEMER ndio maana unaambiwa any data from CCM regime is mostly cooked., eti $2.7B., while Kenya is $1.5B., haiwezekani hataaa., CCM ingeweza ku finance national budget fully, run gov't programs smoothly, pay civil servants and manage its projects., lakini wapi., vyanzo vyenyu vya kutega Uchumi havitoshelezi mahitaji rasmi ya nchi, ukiondoa development projects.,
ππππππππππππππππThe same to this talented brains, wananunua rollers of materials kutoka nje as raw materials na kuja kudesign and making kwa kutumia machines na brains, sasa kwanini visiitwe viwanda? mwaswast
Na hivi kwa Tanzania ndio vinachipukia sana na ndio viwanda vyenyewe tunavyovitaka adding value
View attachment 1234679View attachment 1234680
Viwanda vya kubangua na kupack korosho na vyenyewe ni viwanda tunavyovitambua, huyo anayeshangaa hana hata buku mfukoni au ameajiriwa anapelekeshwa kama gari bovu na boss wake huku akiwacheka wamiliki wa viwanda vya kupack korosho na ubuyuππππππππππππππππ
Hivi Ni vitu vya kawaida Kenya haswa hizo umeweka hapo za kutengeneza viti vya magari na bodyworks...nilianza kuziona Kenya in the mid 90s kwa garages Yani hivyo Ni vitu vianfanywa na mechanics was kawaida hapa Kenya. Kama hivyo kwenu Ni viwanda Basi ndio maana tunawaambia mpo zaidi ya miaka 10 nyuma.The same to this talented brains, wananunua rollers of materials kutoka nje as raw materials na kuja kudesign and making kwa kutumia machines na brains, sasa kwanini visiitwe viwanda? mwaswast
Na hivi kwa Tanzania ndio vinachipukia sana na ndio viwanda vyenyewe tunavyovitaka adding value
View attachment 1234679View attachment 1234680
Hahaha hujui kama hao ni nyumbu?
Viwanda JPM anavyozungumzia hapo vingi ni viwanda vidogovidogo kama hivi ππ
Ambavyo ndio vipo vingi
View attachment 1234646View attachment 1234647
Wengi wao uelewa wao wa viwanda ni finyu sana, mmoja anasema eti kiwanda kinatakiwa kichukue miaka si chini ya mitano kujengwa na kiajiri 1.5k mpaka 2k manpower, π’ unaweza kuona ni jinsi mtu kama huyo alivyo mweupe kichwani linapokuja suala la viwanda
Aina za viwanda vipo
Primary industry
Secondary industry
Tertiary industry
Quaternary industry
Na vyote vina margins za capacities tofauti... Ila vyote ni viwanda kwa mujibu wa UNIDO
Hii ni furniture industry, kiwanda kidogo lakini kinauza furniture zake mpaka Kenya View attachment 1234668
Hivi Ni vitu vya kawaida Kenya haswa hizo umeweka hapo za kutengeneza viti vya magari na bodyworks...nilianza kuziona Kenya in the mid 90s kwa garages Yani hivyo Ni vitu vianfanywa na mechanics was kawaida hapa Kenya. Kama hivyo kwenu Ni viwanda Basi ndio maana tunawaambia mpo zaidi ya miaka 10 nyuma.
Hawajielewi tu, China viwanda vyenye uwezo wa kuajiri watu kuanzia 1k kwenda juu ni vichache, vingi ni kama hivyo ulivyosema, viwanda vidogovidogo macro kabisa...Hii ni aina ya viwanda iliyoipaisha China kiuchumi mpaka kuwa tishio la marekani.
Kule China karibu kila nyumba ni kiwanda. Mfano unaweza kukuta kuna mtaa kila nyumba ina cherehani kuanzia tatu mpaka tano au zaidi wanashona na kudarizi mashuka au kushona suruali za kadeti. Kuna kampuni ambayo familia hizo imeingia nazo mkataba, wanawapa brand, specifications, size, colours na amount kwa juma. Sasa ikiwa nyumba ziko 70 na kila nyumba imeingia mkataba wa kutengeneza 40pcs. Ina maana kampuni itakuwa na 2800pc kwa juma. Hii ndiyo hatua waliofikia waChina, wanajaribu kurahisisha mambo ili uzalishaji ukue kwa kasi, vivyo hivyo uchumi wao.
ππππ Yaani huyo ni Tatizo, ana matatizo mengi sana ya uelewa, mimi naongelea maana ya viwanda, yeye anasema sijui miaka ya 90s sijui miaka zaidi ya 10 dah, mtihaniYaani katika watu ambao walimu wao walipata kazi kuwaelewesha darasani ni wewe mmoja wapo. Yaani siku zote huwa huelewi. Hivi una tatizo gani mwasit?
πππ€£