Nakuona moyo ulikuwa unaenda mbio pindi unaandika hii postππ Thread zangu huwa zina kutoa knockout sana it seemsππ Nabado zinakuja nyingi. Travelator JKIA uliipata engineer fake ? ππWewe ni mjinga kwa kuanzisha mada za kijinga. Ukiumbuliwa haimaanishi umeerevuka. Ujinga bado umeujaza kichwani.
Engineer Fake eti umetoa povu matundu yote ? π±πππNarudia tena!
Ina maana we nyang'au hiyo mita moja ndio inakutoa povu kiasi hiki? Sijaongea suala la port ya Mombasa au port ya Dar, nimeuliza tu a very simple question, ila umetoa povu matundu yote!
Gwiji wakumpatia fundi ujenzi tofaliππJipe shughuli. Nenda shule kwanza ndio ujaribu kujitoshanisha na magwiji.
Mulisaa ama Maharishi. Mtu asiye na knowledge kwa lolote kazi ni kifunguo thread zisizo Na maana zenye hata yeye hazielewi. Endelea kuharisha Mr. Maharishi hapo Tandale maanake ni wazi huelewi chochote unacholeta humu kujadiliwa. Alafu Rudi shule pia.Gwiji wakumpatia fundi ujenzi tofaliππ
Nakuona moyo ulikuwa unaenda mbio pindi unaandika hii postππ Thread zangu huwa zina kutoa knockout sana it seemsππ Nabado zinakuja nyingi. Travelator JKIA uliipata engineer fake ? ππ
Mombasa mambo haya ya kawaida sana.