Tanzania register trade surplus with kenya

Ni reli ya zamani. Ilijengwa wakati wa ukoloni. Watu wengi hawana habari kuihusu
Watu wengi wapi? Labda wakenya wenzio sababu hakuna watu wenye kujua mambo mengi kama Watanzania, ilijengwa mwaka gani?
 
Hayo ni maoni yako binafsi. Wewe unaongea kama mtu mmoja. Usijifanye kwamba unaongea kwa niaba ya Watanzania wote milioni 60.
Bro hamtakiwi huku wala usijiliwaze kwenye hamna, hatujawahi kuwa na ukaribu na ninyi hilo lipo wazi halafu nakushangaa sana unavyosema Nyerere alitofautiana na land grabber wenu kwenye baina ya socialism na capitalism kwenye EAC, ni lini na wapi kulikua na majadiliano ya kuwa na siasa ya pamoja EAC?
 
Wewe unafikiri EAC ya zamani ilivunjika kwa nini kama sio malumbano kati ya Nyerere na Kenyatta?
 
Hayo ni maoni yako binafsi. Wewe unaongea kama mtu mmoja. Usijifanye kwamba unaongea kwa niaba ya Watanzania wote milioni 60.
Huo ndio ukweli, Tanzania hatuna interest na Kenya, Bora mngezidisha mahusiano na failed state wenzenu wa Ethiopia [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe unafikiri EAC ya zamani ilivunjika kwa nini kama sio malumbano kati ya Nyerere na Kenyatta?
Sababu kubwa ilikua ni Idd Amin kumpindua Obbote na yeye kukimbilia Tanzania, Nyerere aliamua kuwasaidia wapinzani wa Idd Amin ili wamfurushe madarakani, kwa kipindi chote hicho vikao vya Marais wa EAC havikufanyika kwasababu Nyerere alikataa kukaa meza Moja na Amin.
 
We don't trust Kenya as a country and it's leadership, don't expect better business relationship with Tanzania
Ungekua mama samia ningekuamini, but then again your just another keyboard warrior, with a hateful heart[emoji23]
 
Hawatakagi kumpa credit jiwe, ila, we all know.
yaani hawa watu wapuuzi sana.....wakati wa jk pia international trade iliboom sana japo na ufisadi uliota mizizi
 
Ungekua mama samia ningekuamini, but then again your just another keyboard warrior, with a hateful heart[emoji23]
Msilazimishe mahusiano na Tanzania, Kama mlishindwa kuelewana na Nyerere, a humble man, panafricanist, one among the most respected men on Earth, kamwe Kenya na Tanzania hatuwezi kuelewana, bahati mbaya ameshafariki hamuwezi kumuomba msamaha
 
Watu wanapiga hela wewe uko hapo na upuzi tu, you should be studied
 
Watu wanapiga hela wewe uko hapo na upuzi tu, you should be studied
Hata Uhuru Kenyatta na familia yake wamewaibia pesa nyingi na kuzificha nje ya nchi, Tanzania na Kenya ni nchi tofauti Sana, Endeleeni na maisha yenu ya kupiga hela, rushwa, ukabila, nepotism na kila aina ya uchafu lakini sisi msitukaribie hatutaki mahusiano na ninyi.
 
Magufuli alienda vizuri sana na Wakenya, ukiwapa uhuru mkubwa huwa wanautumia vibaya.
 
Kenya siku hizi inaheshimika Afrika nzima kushinda TZ
 
Kenya siku hizi inaheshimika Afrika nzima kushinda TZ
Nafasi zote mnazogombania Africa na duniani mnashindwa, mnagombana na majirani wote, nani ataheshimu Kenya?. Any way sisi hatutaki mahusiano na ninyi, mnao majirani wengi tu, Somalia, Ethiopia, SSudan na Uganda, achaneni na Tanzania,[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…