Tanzania register trade surplus with kenya

Mbona Africa hii hii ilitupigia kura turepresent Waafrika wote kwenye UN security council kwa miaka miwili?
 
Ungekua mama samia ningekuamini, but then again your just another keyboard warrior, with a hateful heart[emoji23]
Ila kweli ninyi mnaipenda Tanzania 😅😅😅

Yaani ni kama mke anaepigwa kama kibaka na mumewe, keshavunjwa meno yote na mikono lakini bado tu anasema mume wangu bado nakupenda 😅😅😅 mnajiliwaza Magufuli ndio aliharibu uhusiano mzuri utafikiri tulishawahi kuwa na huo uhusiano mzuri 😂😂😂😂

Sio Kikwete alizuia KQ kuingia Tanzania baada ya ninyi kuzuia tour vans za Tanzania kuingia Kenya? Sio Nyerere aliefunga kabisa mpaka na Kenya? Sasa ni ukaribu upi tuliwahi kuwa na ninyi? 😅😅😅
 
@Tony254
 
Mbona Africa hii hii ilitupigia kura turepresent Waafrika wote kwenye UN security council kwa miaka miwili?
Hiyo nafasi ni "rotational" haijawahi tokea nchi ya Africa kupingwa na nchi ingine ya Africa baada ya kupitishwa na AU, Kenya pekee ndio imepingwa tena na nchi ndogo Sana kuonyesha jinsi Kenya isivyoheshimika Africa.
 
Congrats Tanzania, the foundation of wisdom by hayati mwalimu nyerere and sacrifices by John pombe Magufuli to impliment mwalimu's vision is now brearing Fruits!!
On the shoulders of these 2 great Giants stands mama samia suluhu, who is steadfastly implementing JPM's industrialization agenda
 
We jamaa mara nyingi unaongea fact bila kujali utaifa

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Tanzania recently years it has been improve it's export to Kenya and other EAC due to have strong industrialization policy driven by her Excellence. Samia suluhu
Sasa unaregister surplus ya trade halafu unamuuzia mwenzako unfinished goods yeye anaboresha na kuuza nje mara hata 10 ya bei uliyomuuzia hiyo surplus yako ina maana gani
 
Sasa unaregister surplus ya trade halafu unamuuzia mwenzako unfinished goods yeye anaboresha na kuuza nje mara hata 10 ya bei uliyomuuzia hiyo surplus yako ina maana gani
Nasisi tunauzia nchi nyingine pia finished goods
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…