So, do we judge Christianity based on what christians do OR do we judge Christianity based off authoritative literatures?Dini zina ubiri upendo na kusamahe pia usiue , ila hao unaowaita washika dini wanashabikia mauaji ya palestina na Israel na Lebanon , nafikiri mtoa mada kuna namna yupo sahihi tena hapo kawahurumia sanaπ€π€π€
Sawa ndugu nkiristo takwimu zangu wakilisto asilimia 100,waislam asilimia 0,haya shangilieni enyi wagalatia msio na Akili,(kwa mujibu wa Bible).Tanzania Religious figures
Tanganyika
85% Pagan/ Non Religious/ Atheist
7.4% Christian
5.2% Islam
1.5% Hinduism
0.9% Others; Judaism, Buddhism, other traditional religions
Zanzibar
84% Islam
9% Christianity
5% Hinduism
2% Others like Judaism, traditional religions, pagans, non religious/ Atheist
Ndo maana mtume paulo alisema ana miminwA kwa Akili hizi itakuwa nanyi mmerithi kumiminwA.65% christian. 20%muslim
Unaweza kuwa robot ndioπππSasa usiopomwona maana yake ndiyo hayupo? Wewe mbona hujaniona mimi, kwa hiyo sipo?
Zenji hii au Tanga mkuu???πππMuslim ni 75%, hili halina ubishi
Hiyo 25 wanagawana waliobaki, wachawi, wezi, majambazi, matapeli nk nk nk nk
huwa nashangaa watu unakuta mishipa inawasimama wakisemwa wa dini fulani wengi. mimi I care nothing wawe wa imani yangu ndio wengi ama wachache..sioni kama ni ishu.Mmm hapana nakataa,hapo wa kwanza mpe 13% wa pili mpe 72% otherwise hii ni batili.