DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Je umeelewa alichomaanisha mtoa mada?Mfano,kwa kampeni za miezi 2 kama una gari moja tafsiri yake inahitaji mafuta ambayo kwa hekaheka za kampeni kwa siku laki na nusu ya mafuta 150000×50=
,Mabango kutapakaa=5ml
Majukwaa ya kuhamishika=5ml
Chakula cha wasaidizi =3ml
Waandishi wa habari=5ml
Dharura=5ml
Pesa ya dharura kwa familia=5ml
Kwa uchache umeona?
NimeelewaJe umeelewa alichomaanisha mtoa mada?
Okay umeona alichomaanisha na wewe ulichoandika havina uhusianoNimeelewa
Nimejibu ulichoniuliza,nimechanganua kuhusu mode of economy,vyote umeona havina maana,umegeuza mada.Okay umeona alichomaanisha na wewe ulichoandika havina uhusiano
Haujaeleweka Ila umeokoteza mambo ambayo ni unrealistic.Nimejibu ulichoniuliza,nimechanganua kuhusu mode of economy,vyote umeona havina maana,umegeuza mada.
Haya sawa,
Imeturithisha ujinga upi tena?Haujaeleweka Ila umeokoteza mambo ambayo ni unrealistic.
Hii inatokana na Elimu ya kukariri mliyopewa na sisiemu .
Kwakuwa Mimi nikiwa nahitaji Ubunge Kama nina sifa zote muhimu sihitaji kuwa na Mil 50 Ila wewe akili yako ndogo inakutuma hivyo ukiwa na maana ya kuwa utaonga , utanunulia watu chakula n.k
Sisiemu imewarithisha ujinga
Wajinga kama Lucas Mwashambwa wanakaa kushangilia koo 3 zinagawana mali za nchiHii nchi wameigeuza shamba lao la urithi, hakika ni huzuni kubwa kwa kweli
CCM kwa rushwa haina mpinzaniHaujaeleweka Ila umeokoteza mambo ambayo ni unrealistic.
Hii inatokana na Elimu ya kukariri mliyopewa na sisiemu .
Kwakuwa Mimi nikiwa nahitaji Ubunge Kama nina sifa zote muhimu sihitaji kuwa na Mil 50 Ila wewe akili yako ndogo inakutuma hivyo ukiwa na maana ya kuwa utaonga , utanunulia watu chakula n.k
Sisiemu imewarithisha ujinga
BWAHA BWAHA BWAHA BWAHAHAA BWAHAHAHAAA BWAHAHAHAHAAAAA BWAHAHAHAHAAAAAAAAAA!!!!!Madaraka ya kifamilia walianzisha Mtei na Ndesamburo hapo Chadema kwa kuwajaza bungeni akina Grace, Lucy, Freeman kisha Lisu na Zitto wakaiga kwa kuwaleta bungeni dada zao na Dr Slaa akamleta Mtalaka wake 🌹 kabisa
Sasa kipya ni kipi hapo wanachofanya CCM? 🐼
Huyo chawa hana akiliWajinga kama Lucas Mwashambwa wanakaa kushangilia koo 3 zinagawana mali za nchi
Wanatuona sisi watanganyika kama vile ni wajingaVery well calculated, inaweza kuwa kweli. Angalia Zanzibar walivyopangwa wale Mwinyi.
Hapa vile vile Yes man (Nchimbi) kutuliza wagalatia, halafu na Pinda,
JK etc etc
It makes sense!!!!!
Thats why we need reforms seriouslyHaujaeleweka Ila umeokoteza mambo ambayo ni unrealistic.
Hii inatokana na Elimu ya kukariri mliyopewa na sisiemu .
Kwakuwa Mimi nikiwa nahitaji Ubunge Kama nina sifa zote muhimu sihitaji kuwa na Mil 50 Ila wewe akili yako ndogo inakutuma hivyo ukiwa na maana ya kuwa utaonga , utanunulia watu chakula n.k
Sisiemu imewarithisha ujinga
Halafu kuna maswaswa a.k.a. machawa a.k.a. makunguni wanasema ccm ni yao! kaleni maharage mkalale!Kupitishwa kugombea ubunge kwa wanafamilia ambao wazazi wao walishawahi kuwa marais na wengine bado wakiwa madarakani ni mpango mkakati uliosukwa vema kutawala kifamilia walau mpaka 2050.. In short utawala wa kiimla na kifalme.
Hizi koo 3 za JK, Maza na Mwinyi zitatutesa sn mpk tuje tupate akili siyo leo wala keshoMwasisi
Mwendelezaji
Mhamasishaji
Kuanzia level za chini mpaka juu kabisa.. Tanganyika imo mnadani
Yap ya kutafuna nchiHappy hooligans