Tanzania Roadmap to 2050: A Monarch regime?

NWO sio ishu tena labda kwako ndio habari mpya sana... Hiyo Ina miaka zaidi ya 30.. Hapa ni ishu wachache wanachopanga ili kurithishana madaraka kifamilia
Atatokea mwamba ataukata huo mmbuyu trust me

Ova
 
Hakuna urithi wowte .
Mtaona mabo yatakavyo kuwaTusubiri uchaguzi umalizike ndio mtajuwa hasa.

Nchi itaongozwa na wazalendo wakweli.
 
Hatuwezi kuwa nchi inaendeshwa kama idara ya 'Fire', tunataka mtu ambaye anchukizwa na ulegelege huu" Polepole
 
Kwamba Chalinze kwa mtoto wa Jk hakuna aliyejitokeza, na Mchinga kwa Mke wa Jk hakuna aliyejitokeza kuchukua fomu!!

Hata kama wewe ni Chawa ni vyema pia ukaheshimu pesa ya Vitumbua iliyokusomesha!! Nyie ndio mnaruhusu nchi inauzwa vipande vipande
 
Kwamba Chalinze kwa mtoto wa Jk hakuna aliyejitokeza, na Mchinga kwa Mke wa Jk hakuna aliyejitokeza kuchukua fomu!!

Hata kama wewe ni Chawa ni vyema pia ukaheshimu pesa ya Vitumbua iliyokusomesha!! Nyie ndio mnaruhusu nchi inauzwa vipande vipande
Hapana chadema ndio wanapenda bwana zao wazungu wazuie misaada
 
Sijui ni kwanini watoto wa viongozi wa Zanzibar wanagombea ubunge, bunge la muungano tu. sijui kwanini hawataki kwenye baraza la wawakilishi. Au huku bara ndio kwenye pesa nyingi na sio lazina mtu achangie.
Kuna mmoja bunge lililopita mchango wake ulikua kusinzia na kujamba ovyo kwenye debating chamber.
Na alikua analipwa pesa ndefu kwa kujamba jamba, kusinzia, kukenua, kuuza sura na kupiga makofi.
 
Dawa hii hapa
 
It's either you can't see beyond your nose au unayafumbia macho kwa sababu zako binafsi, it's an openly visible pattern. Kuna ndugu wanne wa familia moja, ndugu wawili wote familia nyingine wote wamepita bila kupingwa and so on and so forth.
Kama haujafuatilia kwa umakini, take your time na utabaini mengi.
 
Two wrongs don't make anything right, CHADEMA wakemeane wenyewe kwa mauzauza yao na wananchi wakemee mauzauza wanaoandaliwa ili yawatawale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…