Tanzania: Ruling party plans to lock out opposition candidates as they did in local elections

What assured you is ccm?,even how does it concern with you! You become the hague now? Remain with your problems,Let us solve our own problems
It is CCM I have the evidence.
 

Mnatia huruma kama hizi ndio hoja mnazotegemea kutumia dhidi ya huyo jamaa, keshakua mgombea urais, kuweni serious mrudi kwenye ubao na kuandika upya mikakati na hoja zenye mashiko. Jamaa atawatesa sana kama hamjiongezi.
 

Wacha kung'aka, humu huwa tunajadili siasa za kote kuanzia kwa Trump Marekani kwenda kwa Putin mpaka kwa Kim Korea Kaskazi kuja hadi Afrika Kusini, hivyo hamna namna ya kuzuia msijadiliwe, kama hamtaki mjadiliwe acheni matukio na kama vipi mjifungie ndani kabisa bila kuanika chochote kwenye vyombo vya habari
 
Tofautisha kujadili na kuponda
 
Tofautisha kujadili na kuponda

Sehemu yoyote kuna mijadala ya siasa kubali kupondwa na kusifiwa, vinginevyo nenda kule kwa mada za mapenzi huko ndiko watu husifiana siku inaisha.
 
Hivi mipinzani ya Tanzania mnatarajia nini kama hamuungani wa wengine mteue mgombea mmoja?
Hata CCM wasipo wafanyia figisu bado kura zenu zitakuwa zimegawanyika vipande vipande
Mijinga kweli nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…