Tanzania’s cotton exports touch US$81.52mn in 2012

Tanzania’s cotton exports touch US$81.52mn in 2012

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,801

[TABLE="class: ContainTableBgColor, width: 100%"]
[TR]
[TD="width: 100%"][TABLE="width: 100%, align: center"]
[TR]
[TD][TABLE="width: 100%, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100%"][TABLE="width: 100%, align: center"]
[TR]
[TD][TABLE="width: 100%, align: center"]
[TR]
[TD="align: left"]March 14, 2013 (Tanzania)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100%"]
spacer.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100%, align: justify"]
cottonbales1_122225144125.jpg

Tanzania made about US$ 81.52 million in cotton exports during 2012.

As compared to previous year’s output of 255,000 tons, Tanzania produced 355,000 tons of cotton during 2012-13, 80 percent of which was shipped to Asia, Mr. Gabriel Mwalo, Ag Director General of the Tanzania Cotton Board (TCB) told East African Business Week.

The increase in cotton output is mainly attributable to rise in world cotton prices and the Government’s efforts to encourage farmers by providing subsidies, he said.

However, there are high variations in crop output as cotton production is mainly undertaken by small farmers holding around 0.5-10 acres, averaging to 1.5 acres, who mainly rely on manual work and rain-fed irrigation, he added.

Presently, around 400,000-500,000 hectares of area in the country is under cotton production, Mr. Mwalo said.

He said sub-standard inputs coupled with the dependence of farmers on rain and manual work are some of the key challenges confronting the sector.

Being a key employment generating sector, the Tanzanian cotton industry provides livelihood to about 500,000 rural people.

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100%"]
Fibre2fashion News Desk - India[/TD]
[/TR]
[TR]
[/TR]
[/TABLE]

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Hizo Pesa zinaenda kuwafaidisha WAKULIMA? au ndio hao MIDDLE MEN? kwasababu Vyama vya USHIRIKA vingi havinunui PAMBA vimeuza Mali zake kwa MIDDLE MEN... ni hatari... na Wakulima hawalipwi VIZURI kwa kilo;
 
Mkuu huyu Mbulura naye sijui vipi! Eti anasema uzalishaji umechangiwa na ongezeko la bei kwenye soko la dunia pamoja na ruzuku ya serikali? Pumbavu kabisa!! Wakulima mwaka jana waligoma kuuza pamba yao kutokana na bei kuwa ndogo kuliko ya musimu uliopita Tsh. 660 badala ya Tsh. 1,100)! Hakuna ruzuku yoyote inayotolewa kwenye zao la pamba, ruzuku ya madawa ni ulaghai mtupu na ni mradi wa wakubwa dawa inauzwa kupitia hao hao wanunuzi wa pamba wala wakulima hawajanufaika na huo mpango.

Halafu huyu jamaa naona hana takwimu sahihi, eti sekta ya pamba inasaidia wakulima 500,000 kwenye maswala ya livelihood? Hivi hii population ni ya wilaya ngapi? Hivi ana taarifa na idadi ya wilaya zinazolima pamba ambako asilimia 100 ya wakulima wanategemea zao la pamba? Au alikuwa anamaanisha nini kwenye hii sentensi? "the Tanzanian cotton industry provides livelihood to about 500,000 rural people"
 
Walaji ndio wanaweka hizo TAKWIMU; Wakulima wanapewa hela ndogo kwa kilo... NCHI yetu Mbovu na WABUNGE wa CCM ndio wanaoendekeza hizo bei chee... Sababu wengi wao ndio wenye Makampuni binafsi ya kununua PAMBA kwenye Mikoa inayozalisha PAMBA
 
Mbona hii bodi iliwaambia wakulima soko la dunia limeshuka wakatengeneza mazingira na wenye vinu pamba mkulima akauza kwa hasara kubwa sh 660,badala ya sh 1100.tafadhali bodi iwalipe hasara wakulima haraka,pia isiwaibie tena.wakulima wameanza kupanda mazao mengine tofauti na pamba kutokana na bei
 
Hizo Pesa zinaenda kuwafaidisha WAKULIMA? au ndio hao MIDDLE MEN? kwasababu Vyama vya USHIRIKA vingi havinunui PAMBA vimeuza Mali zake kwa MIDDLE MEN... ni hatari... na Wakulima hawalipwi VIZURI kwa kilo;

Hapo ndipo unajiuliza maswali mengi bila majibu. Wilaya ya Tandahimba Mtwara ndio inayozalisha korosho nyingi takribani 40% ya korosho inayozalishwa nchini . Mwaka 2011/12 ilizalisha takribani tani 47,000 kwa wastani wa Tsh 1500 kwa kilo ni sawa na bil 70.5 . Hii ndio transaction iliyofanyika kwa wilaya ya Tandahimba pekee piga hesabu za export levy iliyobebwa na serikali (260 kwa kilo).

Nenda kwenye hiyo wilaya utastaajabu serikali inavyowafanya wananchi wake mandondocha. Kweli fedha zichumwe na wakulima halafu viongozi wajijengee lami kila kona huko masaki na mbezi! Tandahimba hakuna lami hata mita 1.

Mungu ibariki Tanzania
 
Back
Top Bottom