ESTHER Mk
New Member
- May 23, 2024
- 3
- 2
Tanzania nchi yangu, nchi inayo kua siku adi siku. Kwenye sekta mbalimbali, wawekezaji, watalii ata watanzania wenyewe tunaongezeka, Mahitaji na matumizi pia. Tushawai kuwaza baada ya matumizi ya vitu kama plastiki, karatasi, na taka nyinginezo zisiwe kero kwaku jikita kwenye kuanzisha mzunguko(re-cycle) wa taka izo?
(Chanzo cha picha tovuti ya econlib)
Kwa mwaka 2024 tuliopo wanao fanya shughuli ya kuchakata wapo lakini nia ya dhati kwenye upande uwo aupo pendekezo langu ni viwanda viwepo vitakavyo kua vinapokea taka hasahasa plastiki, kugeuza kua vitu mbalimbali mfano viti vya plastiki vitakavyo tumika mashuleni kupunguza matumizi ya mbao kutunza uwoto wa asili.
(Chanzo cha picha tovuti ya Un news)
Ili jambo likiangaliwa kwa jujuu ni la kawaida ila kwa undani ni kubwa sanaa, kwa undani ipo hivi viwanda vya kuchakata plastiki kua malighafi mpya kwaajili ya matumizi ya kijamii vitakua vina nunua kwa wanao kusanya mitaani, wanao kusanya wanapata fedha hii ni kuuwa ndege wawili kwa jiwe moja ifike mahala watu wanagombania taka sababu zina wanufaisha na wao itakua ngumu watu kujitolea kuweka nchi yetu safi kama itakua haina maslai kwao kabisa.
Hivyo basi faida patikana kwenye hili wazo ni kupunguza matumizi ya malighafi za mbao, kuokoa na kutunza mazingira, kuzalisha malighafi mpya kupitia plastiki zilizopo, Kupendezesha nchi, wakusanyaji kupata kipato kupitia shughuli iyo kwasababu ya uwekezaji utakao fanyika kwenye jitihada za kutokomeza taka hatarishi za plastic.
Kulifanyia kazi ili jambo kuzalisha madawati au viti vya wanafunzi kupunguza uwaba wa madawati shule maana katika sekta yenye uhitaji wa mbao sana ni hiyo.
Taka nyinginezo ni hizi zinazo oza zikitunzwa vizuri kitaalamu zinaweza kua mbolea zikitunza kawaida zinazalisha wadudu ambao ni chakula cha kuku, hii elimu watu wapewe ili kupunguza taka kwa mtu mmoja mmoja mbegu za parachichi zina zagaa watu awajui wanatupa tiba maganda ya machungwa vitu vingi vinafanya katika jamii kwa ujinga ila ni elimu inaitajika pia kwa upande mwingine.
Taka nyingine ni karatasi izi azina shida sana kwenya mazingira kama zingine, ila wapo walio jiongeza kutengeneza mkaa wa makaratasi kwa marumizi mengine ya kupikia ni jambo zuri pia.
(Chanzo cha picha ni tovuti ya Tanzaniaweb)
Taka nyingine ni glasi uhatari wa hizi taka ni kudhuru watu, wanyama na matairi ya vyombo vya moto, kama ilivyokua kwenye taka nyingine izi pia zikichomwa kwa moto mkali zina yeyuka na kuunda kitu kingine kipya hii itamaliza tatizo la taka za vioo au glasi mtaani
(Chanzo cha picha ni tovuti ya super spade )
Kwakumalizia Tanzania tunayo itaka kwenye nyanja yoyote teknolojia, uchumi, elimu, mazingira, maadili tunaweza endapo tutawaza mawazo chanya na kuyafanyia kazi akuna mwisho mzuri usio na jitihada.
HANZANIA TUNAYO ITAKA INAWEZEKANA.

Upvote
1