Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Uzi wa kizaramo halafu wewe unacomment kisukumaUnatakiwa uweke msisitizo hapo waliposema previous government haikuzingatia athari za Uchumi za covid 19 kwenye afya na sekta zilizoathirika.
Hao ndio wametufikisha hapa na isingekuwa kupanda kwa bei ya dhahabu kilio kingekuwa kikubwa zaidi.
Aahukutiwe Mungu maana
Wewe unayejua endelea kujua
Kazi zinaendelea kwa kasi sana kama hivi 👇Wewe usiyejua endelea kutojua.
In short - kazi iendelee!
Kazi zinaendelea kwa kasi sana kama hivi 👇
View attachment 1963655
View attachment 1963656
View attachment 1963657
Katie taarifa polisi huku haitakusaidiaHizi za kutesa haki ni za muhimu zaidi hapa duniani na huko mbinguni:
View attachment 1963684
Labda kuliko hizi:
View attachment 1963685
The habit of bagging will never stop in black continent until when Jesus comes.You have to harvest what you sow
Katie taarifa polisi huku haitakusaidia