Tanzania SGR Bridges are crazy!

Na hapo bado vituo (stations).
Wangetupa hata renders za hivyo vituo.
Waturuki bana, me wananifurahisha kwelii....

naona jamaa kawakomalia asitoe render, itapunguza utamu...

Ni mwendo wa "shocked surprise ", mara maaaaap kitu hiki juu kwa juu... mara
Kamata ileeee, Karume ileeee, Boma paleee, Amana paleeee, Veta paleee, Malapa paleee... Hahahah hatari sheikh
 
Alafu eti ndo tunahamisha makao dodoma, sawa na baba kuwaambia watoto wakalale banda la ngombe kisha yeye analala chumbani kwakwe.
 
shua ni mwendo wakuwashtukiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…