Tanzania SGR Fails

Huo ufisadi kaufanyia wapi ndo nausikia kwako acha kukurupuka magufuli ndo raisi bora afrika kwa sasa.
Duh!duh!duh!!!Unaishi Tanzania mkuu?Hukumbuki hata kisa cha CAG Hassad kuundiwa zengwe na kutimuliwa kazi?Hadi wachora katuni akina Masoud wamechora sana katuni za huu ufisadi kama hiyo niliyotuma hapa!Wewe hufuatilii mambo kazi yako ni kusema ndiyo kila kitu cha Magufuli?

Ninaposema kuwa Magufuli is a country bumpkin sisemi hivyo kwa sababu za kishabiki za kisiasa bali kwa sababu ya mambo maovu ya kutisha aliyofanya Magufuli akiwa Rais
 
Nachomaanisha unauhakika ufisadi umefanyika?thibitisha kama umefanyia au huwezi jua kama hizo hela zimetumika kufanya maalum.
 
Nachomaanisha unauhakika ufisadi umefanyika?thibitisha kama umefanyia au huwezi jua kama hizo hela zimetumika kufanya maalum.
Mimi ni nani hadi niwe na ushahidi mkubwa zaidi ya ushahidi wa CAG?CAG alithibitisha kuwa hizo hela zilipigwa na serekali ya Magufuli
 
Unauhakika hiyo hela imetumia kwa kwa mambo ya ovyo?
Mkuu hukufuatilia hii skendo?Mbona ilikuwa maarufu sana hadi kwenye lile bunge la Ndugai lisilokuwa na meno?Kisa cha CAG Hassad kuondolewa na Magufuli ilikuwa ni hii ishu
 
Sawa wewe Ni mwelevu[emoji122][emoji122][emoji122][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni kilaza kwa sababu tokea Tanzania ipate uhuru mwaka 1961 hakuna Rais ambae amewahi kupiga tukio la ufisadi wa TZS trillion 1.5 lakini Magufuli amethubutu bila aibu wala soni achilia mbali kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa kijijini kwake bila budget kupitia bungeni kama vile Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu Wa Za Banga.
 
Ww endelea kuwashwa tuu....utanyoka na Tz ...
 
Time will tell! Just wait.We are the new Giant in the zone better get used to it.!! Tunawaletea na Gas huko mjue usiniongelee vibaya buda! Hivi hamuoni hata wachezaji wenu wanakuja kucheza huku kwenye Hela au Joash and kahata are not Kenyans?
Giant kitu gani.
SGR imekwama porini sababu ya wizi wa hela kupitia CCM. CCM wanajenga reli substandard hadi mkandarasi abomoe sababu its a risk to public safety.
 
Bro Tanzania SGR can never fail tuna resources ya kutosha ya kufanikisha hili.
SGR imeshafail.
Haijaisha iko behind timeline yake iliyowekwa na mkandarasi. Kumbuka mikopo inafaa ianze kulipwa na bado SGR haijaisha. Mnakwama wapi au ni mamba ruvu?
 
Boya wewe, yaani kwa akili yako unafikiri Masoud anaipinga serikali? Tanzania ni zaidi ya uijuavyo....Umemuona juzi juzi akiongoza kipindi cha miradi ya TAMISEMI (Ofisi ya Rais TAMISEMI) ?
 
Hehehehe huu uzi jameni....
Tatizo lenu kubwa mnataka mshindane na Kenya kwenye kila kitu, mnajitutumua na kuishia kuharibu, hii SGR mngetulia mfanikishe kasafu kamoja ka Dar-Moro kwanza, sasa mumeishia aibu na hata mumeshindwa kuitumia kwenye kampeni kujinadi.
 
Mbona mnawashwa hela iwe imekopwa au yetu sio shida ili mradi tutakuwa na SGR treni na kama wakati wanatest imeanguka nayo ni nzuri zaidi kwani tunataka awe makini na atengeneze vizuri ni bora ianguke mara 100 wakati huu wa ujenzi kuliko ianguke mara moja ikiwa na abiria na imekabidhiwa tayari kwa serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…