Nia ya serikali ni nzuri sana, pongezi; lakini wizara hii itatumia fedha zaidi ya 100% ya bajeti yake na matokeo yake ni baadhi ya wizara kukosa fedha na huduma nyingi za kijamii kuzorota. Ni bora kwenda taratibu lakini kwa usahihi na siku zote, "polepole ndio mwendo, haraka haraka haina baraka, mwenda pole hajikwai". Awamu hii inapenda kweli mbio!