Tanzania "Shamba la bibi" hadi lini? Hii Ruby ni yetu. Iweje iko sokoni Dubai na serikali yetu haijui? Nasaidia, mchimbaji huyu, anzieni hapa!

Saa hizi tuko kwenye euphoria ya uzinduzi wa Royal Tour
P
 
Hakuna shida hata akiligawa bure. Shida ni serikali kupata mapato yake stahiki ya kikodi na tozo
 
Mama amefungua nchi
Jiwe hilo tokea 2007,Hata ukuta wa Merelani inadaiwa Tanzanite inapitishwa kwenye tunnels,hivyo njia za kudhibiti utoroshaji hazimalizi tatizo.
Ukiangalia kwa undani itafutwe sababu kuu,kwanini wachimbaji watoroshe madini hayo tena wakiyauza kwa bei ndogo sana kuliko bei ya soko?
 
Watoroshaji wakubwa ni wale wasimamizi wa hayo madini
 
Hao kwani wanahata haiba?! Wake zao ndio kwanza wanataka KULIPWA KWA
SABABU NI WAKE
WA MARAIS?!
Uroho na ulafi gani huu kwa binadamu?!
Wake wa marais wanaishi kama ma malkia! Halafu walipwe?! Kwani wanawalinda waume zao marais? Wanapika na kufua? Wanapiga pasi? Wana polish viatu vyao?! Jamani huo ni undezi au ujinga?!
 
kaka umemsikia BITEKO?Unadhani kutakuwa na litakaloendelea?Rudisha hisia miaka11nyuma unapata viongozi waliyoshika mpini,halafu jiulize je wanamafungamano na serikali ya kipindi hiki?
 
Watoroshaji wakubwa ni wale wasimamizi wa hayo madini
Kwa hiyo tukubali kuwa tumeshindwa kudhibiti madini hayo.
Kabla hajutoa leseni za uchimbaji inabidi serikali ijitadhmini kana ina kifua cha kudhibiti utoroshaji wa madini.
Hakuna haja ya kutoa leseni, Mwalimu Nyerere hakuchimba madini kwa kutambua udhaifu au mapungufu ya serikali yake.
Africa Kusini ni miongoni mwa nchi kongwe kwenye uchimbaji wa madini na vito,amewezaje kudhibi uporaji na utoroshaji wa madini?
 
Hebu tueleze mkopo wenye riba kubwa kiasi gani??
Hayo ni kwa mjibu wa maneno ya mama wakati akimjibu Ndugai baada ya vyuma kuumana, alisema kuwa watu wanalalamika kuhusu mkopo wakati mkopo aliokopa yeye ni mkopo wenye riba nafuu haijawahi kutokea,akimaanisha kuwa watangulizi wake wote mikopo yao ilikuwa na riba kubwa bila kusema riba zake zilikuwa ni kubwa kwa kiasi gani.
 
Aisee....
 
Mzee ulitoka nchini miaka 11 iliyopita. wakati hayati JPM akiwa bado ni waziri. Na ipo mizigo iliyomtajirisha Laizer mmasai wa Arusha, hatuna uhakika kama hilo jiwe ni mmojawapo ya mawe hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…