Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
-
- #161
Mkuu Jumbe Brown , thanks.Hakika bandiko hili ni kwa maslahi kuntu ya taifa🙏
Kudos kamarada PM👍
#Siempre JMT🙏
Hebu tueleze mkopo wenye riba kubwa kiasi gani??Mama alifanya ziara hukohuko akasaini mikataba 16 pamoja na mkopo wenye riba ambayo haijawahi kutokea lakini viambatanisho vyake ni siri.
Mpuuzi mkubwa, report ya CAG hujasikia hata kusikia?
True, kwa sasa wakati bado haijajulikana its fake, its good publicity and lets enjoy it. hivyo for now, its good publicity, lakini ukweli ukibainika its fake, na mdada kufutwa, the bad publicity would outshine the good publicity.mimi naona hilo jiwe limesaidia sana kuitangaza na kuifungua nchi maana dunia nzima imeona jinsi Tanzania ikivyobarikiwa
Kwa katiba hii mbovu mali za umma zitapigwa sn na hatutakaa tuendelee hata kidogoTrue, kwa sasa wakati bado haijajulikana its fake, its good publicity and lets enjoy it. hivyo for now, its good publicity, lakini ukweli ukibainika its fake, na mdada kufutwa, the bad publicity would outshine the good publicity.
P
Mkuu The lost , nikurekebishe, wale Twiga, hawakutoroshwa!, kuna mtu alipewa zawadi hao Twiga, ila ilikuwa iwe discreet, ndio maana wakabebwa usiku wa manane. Kwa bahati mbaya kuna wambea waliona ndio wakapiga kelele, sasa ili kuzima soo ya mtu kutoa zawadi ya nyara, ikabidi maofisa wazuge hao twiga wameibiwa!. Ukweli ni kuwa hao twiga wawili, jike na dume,hawakuibiwa, kuna mtu alipewa zawadi, aliyewatoa zawadi tunamjua, walipokwenda tunapajua. Ili kuthibitisha Twiga hao hawakuibiwa, ndio maana hapo walipo, wako mpaka sasa tena habari njema, wameisha zaa mara mbili!. Hapo walipo, Watanzania tunakwenda sana, na kuwafurahia!.
Kwa vile kina ndege kabla haijatua uwanja wowote, lazima itoe flight data na manifest, ni ngega gani, ya nani, inaendeshwa na nani, na imetoka wapi, imebaba nini, ina crew wangapi, ina abiria wangapi etc. Ikiisha tua, hizo taarifa zinathibitishwa, kama imeleta mzigigo inapokelewa inagaguliwa, kama ni abiria wanakaguliwa ndio wanaruhusiwa kuondoka nchini.
Vivyo hivyo, ndege ikiondoka, kabla haijapewa clearance, flight details zinakuwepo, haiwezekani twiga wameibiwe hatujui!, ndege hiyo tunaijua ni ya nani, inaendeshwa na nani, imekwenda wapi, hivyo twiga wangeibiwa tungeripoti interpoli, walipofika kule walikopelekwa wangekamatwa na aliyewaiba kulazimishwa kugharimia kuwarejesha, lakini hatujafuatilia popote!. Hivyo amini twiga wetu hawakuibiwa bali walitolewa zawadi, atoa zawadi anafahamika, mpokea zawadi anafahamika, walipo panafahamika, ila naombo tuu usiniulize mimi nikutajie, kwasababu, kuna taarifa nyingine sisi waandishi tunazipata as prileged information, yaani unapa taarifa kwa taarifa yako tuu, FYE only na sio kuzitangaza, kama ile siku nilipopata taarifa hii Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli
Hapa sijashangaa jiwe kutoroshwa!, nimeshangaa serikali kutokuwa na taarifa!.
P
Majangili yote yapo CCM ndiyo wafadhili wakubwa wa chamaHongera sana Pascal Mayalla kwa uzi mzuri wa kupigania maslahi mapana ya nchi yetu.Huo ndio uzalendo wa kweli
No sio wote, tuna wabongo kibao, thay are good people, clean people ni wengi zaidi kuliko the bad ones.Bongo wote ni majizi tu, kila mmoja eneo lake.
Sawasawa...Mwalimu tu ndie Hakuwa Fisadi kwenye rasilimali zetu..alikuwa mwizi kama wanasiasa wenzie walivyo wezi ila bado haiondoi ukweli ni mmoja wa ma Rais wachapakazi kuwahi kutokea nchini
kama huamini report ya Ukaguzi wa Mkaguzi mkuu wa Serikali alieteuliwa na yeye mwenyewe unataka nikiwekee ushahidi wa picha wakati anaiba ? gharama ya kutokujua kwako na mahaba yako kwake haihusu watu wenye akili
Julius Nyerere ndio Rais pekee ninaeweza kuamini kuwa hakuwahi kuliibia hili Taifa…waliofuata na watakaokuja watatofautiana viwango vya wizi na kuficha taarifa za wizi wao tu
Nimeungaji mkono?, wanaounga mkono ni wale wanaojua, wakanyamaza, mimi nimejua, sikunyamaza, nimesema.Mkuu kwa ivo unaunga mkono uharamia uliofanywa dhidi ya nyara za serikal wa kugawiwa kama zawadi? Kabisa?
Yes, ni Ruby yetu!.Eti ruby yenu 😂
Duh..Makinikia ya matrillion yaliendelea kwenda nje hata baada ya Jiwe kusema amesitisha, na kwamba tutalipwa trillion 400..hatukupewa hata sh kumi, na makinikia ikaendelea kwenda nje kama kawaida. Alifanya nini?
Haya kaeni msubiri hapo.Yes, ni Ruby yetu!.
P
Asante Mkuu FUKO LA DHIKI , nakuombea libaki jina tuu, la FUKO LA DHIKI , lakini hali yako iwe ni fuko la heri!.Hongera sana Pascal Mayalla kwa uzi mzuri wa kupigania maslahi mapana ya nchi yetu.Huo ndio uzalendo wa kweli
Hamna kitu..Hili jiwe liliibwa kipindi cha JK miaka kumi nyuma. Sasa hivi JK anazunguka USA, ulaya kama Hana akili nzuri, kuna mambo mazito yanakuja kuangamiza taifa kwa kupitia huyu jamaa stay alert. Especially kwenye madini.
View attachment 2197923
Mkuu Paschal nakushauri uendeshe kipindi pale Star TV cha rubi wale jamaa wanavipindi vizuri sn nawakubali sn mijadala yao, awepo Aloyce Nyanda, Doto Bulendu na Mansoon hata report ya CAG wameitendea haki sn kwakweli naweza kusema ndiyo TV bora kwa sasa kwa mijadala mipana ya taifa letuHao uliowataja, hoja zao, ndicho Watanzania wanapenda kusikia. Mfano angalia bandiko hili kuhusu hii ruby, lilibandikwa lini humu jf, angalia lilibandikwa lini na lilichangiwa na watu wangapi Rubi ya Tanzania ya thamani kubwa Duniani ilienda UK Kihalali au Iliporwa?
Leta habari za Daimond na Wema, Zari etc uone jinsi michango ikimiminika.
P
Ishu ya kuwa ya longido tuliahawaambia humu muda tu nyie mnagundua leoMkuu Statesman , doubt zao ni za kweli, lile jiwe ni ruby ya Longido, rubby ile haina thamani kivile, kwasababu ni mjiwe mkubwa tuu lakini ruby halisi ni kidogo sana. Sasa matapeli wakacheza dili, wakaichukua ruby ya Longido na kuitengenezea a face certificate of orgin ili kuonyesha imetoka Winza, Dodoma!, kisha wakaitengenezea a fake waluation certificate ionekana ina thamani kubwa, wakati its not true. Mnunuzi akadanganyika kuinunua, alipogundua amedanyangwa, na yeye akaiuza kwa tajiri wa Kiarabu kwa utapeli vile vile, tajiri wa Kiarabu bila kujua jiwe ni fake, ndio kaingiza nzigo sokoni.
P