Tanzania signs investment deals with China worth over $1.7 bln

Kutembelea na Kukaa ni vitu viwili tofauti, cheer up.

Hahaha!! haya bwana natumai mtatuambia hadi mswaki aliopewa ni brand gani. Mchina jinsi anavyocheza ngoma zake kwa Waswahili...... noma!!!
 
Hahaha!! haya bwana natumai mtatuambia hadi mswaki aliopewa ni brand gani. Mchina jinsi anavyocheza ngoma zake kwa Waswahili...... noma!!!

Hebu mwache Mkw*re wetu afaidi,yani BJ amekufanya kama sebuleni kwa shangazi zake, akiishiwa tu huyo!
wenyewe wanatuita "Lao Pengyou", wakimaanisha old friends.

Muhimu wasitudai tu, maana hatuna rekodi nzuri ya kulipa madeni, na huishiwa kusamehewa tu.
 
Amaaaaah. Ok. For whose benefit? Watanzania wengi bado maskini sana na hawaezi kutoka katika umaskini huo. Poleni watanzania wezangu. Tunateseka kuwatumia misaada tu hakuna ahueni.

Pole sana ikiwa huzioni fursa ziliopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…