joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Ndio sababu tunasema ninyi wakenya ni wanyama sio binadamu, lete ushahidi kama Tanzania sio miongoni mwa hizo nchi zilizowapigia kura. Tukiamua kuweka uhasama na Kenya, mnaanza kulalamika na kulialia, tukiamua kuwakaribu yenu na kushirikiana na ninyi, mnaanza nyodo za kijinga.Hii ushawishi unapiga nayo kelele hapa ni ushawishi gani? Kwanza mjisawishi mtoke kwenye lile tope la LDC.
Kenya ilipata kura kutoka mataifa 37 kati ya 51 zilizopiga kura. Je, nyinyi ndio mlishawishi hizo nchi zipigie Kenya kura wakati Tanzania yenyewe haikupigia Kenya kura? Or are you saying that you convinced the 12 countries that you voted with against Kenya? Wewe nyumbu kweli
Ngoja nikuambie ukweli, Kenya na Tanzania baada ya kuingia Magufuli, uhasama ulizidi sana, Magufuli amewafanyia mambo Mengi ya hovyo na mlishindwa kutufanya lolote. Handshake yenu huko ndiyo iliyorudisha maelewano ya Kenya na Tanzania japo hafadhali, hii ya kuwaunga mkono hadharani, ni dalili kwamba mambo kidogo yanarejea.
Kumbukeni kwamba, nchi za SADC, hazina historia nzuri na Kenya, njia pekee ya Kenya kukubalika SADC ni kupitia Tanzania, kitendo cha Tanzania kutangaza hadhari kuiunga mkono Kenya, ni ushindi kwa Kenya, hata msipochaguliwa katika hiyo nafasi, lakini ni mlango wa kukubalika ktk nchi za SADC, mkiendelea na ujinga wenu, tutaanza kupiga kampeni ili uhasama uendelee na ninyi mubaki katika kundi la "Failed states".