Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,413
- 4,020
Jamii nzima ya Tanzania ni kama Taifa stars tu. Tuna potential sana lakini tunawekeza muda na akili zetu kwenye vitu petty petty.Kipigo cha goli 4 kwa Timu yetu ya Taifa dhidi ya Algeria Tatizo la msingi ni nin hasa...? Lakini nini kifanyike tutoke hapa tulipofikia
Bora enzi za jk timu ilikuwa inajikongojaTatizo ni TFF maana ndiyo wenye jukumu la kusimamia mpira nchini. mbaya zaidi FIFA hawataki serikali iingilie mpira vinginevyo jiwe angeshawatumbua na angekuwa kafanya kazi nzuri sana. TFF wanawaza matumbo ma si mpira wetu.
Kila siku mnajifunza