Asango
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 234
- 25
Habari wa wana jf,
Nimejitokeza hapa kwa mara nyngne maana
kuna kipindi nilikuja hapa na hoja kwamba
kuna mpango wa kuanzishwa kwa bodi ya
kusimamia utaalamu wa walimu na vikao vya
siri vinafanyika ili kuanzisha bodi hyo.Na
uanzishwaji wa TTPB umeigwa Nigeria.
Kikubwa hapa Bodi hii ni nzuri itasaidia
waalimu lakini makato yake ni makubwa. Pia
chombo hk inasimamia masuala ya discipline
ambayo husimamiwa na TSD.
Na kama mpango huu ukipita basi chama cha
waalimu hakina umuhimu lakini bado kuna
mpango wa kuwepo vyombo hv viwili ambapo
ni mzigo kwa kwa walimu.
Je wadau mna maoni gani juu ya hili?