Tanzania Teachers Professional Board Act

Asango

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
234
Reaction score
25
Habari wa wana jf,
Nimejitokeza hapa kwa mara nyngne maana
kuna kipindi nilikuja hapa na hoja kwamba
kuna mpango wa kuanzishwa kwa bodi ya
kusimamia utaalamu wa walimu na vikao vya
siri vinafanyika ili kuanzisha bodi hyo.Na
uanzishwaji wa TTPB umeigwa Nigeria.
Kikubwa hapa Bodi hii ni nzuri itasaidia
waalimu lakini makato yake ni makubwa. Pia
chombo hk inasimamia masuala ya discipline
ambayo husimamiwa na TSD.
Na kama mpango huu ukipita basi chama cha
waalimu hakina umuhimu lakini bado kuna
mpango wa kuwepo vyombo hv viwili ambapo
ni mzigo kwa kwa walimu.
Je wadau mna maoni gani juu ya hili?
 
Waalimu wako madaraja mengi, kuanzia chekechea hadi vyuoni. Je kitahusisha kundi gani la waalimu na wenye kiwango gani cha elimu?
 
Waalimu wako madaraja mengi, kuanzia chekechea hadi vyuoni. Je kitahusisha kundi gani la waalimu na wenye kiwango gani cha elimu?

shule za msingi na sekondari,pia ninayo hardcopy ya msuada huo.
 
Wata waua sasa kwa mshahara upi makato yawe hvyo mengi ni shida kwa hyo tsd na cwt hawana umuhimu tena au niaje
 
Wata waua sasa kwa mshahara upi makato yawe hvyo mengi ni shida kwa hyo tsd na cwt hawana umuhimu tena au niaje

Makato meng ni kweli na hawa CWT sina imani nao kabisa. Labda tungojee mkombozi mwingine atakaekuja kuwachimbia kaburi hawa vibaraka.
 
ningekuwa najua kutuma attachment ingetuma baadh ya vpengele
 
gomeni , andamaneni , kataeni..........

serikali na bunge ikipitisha jueni mmesalitiwa.

hizo bodi huwa hazifanyi kazi kwa manufaa ya wanataaluma , mara nyingi zinafuata maelekezo ya Serikali na zinakuwa chini ya serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…