Tanzania tuitakayo. Miaka kadhaa sasa Tanzania inatakiwa kubadili mfumo mzima wa elimu kwa wanafunzi lakini pia kukabiliana na ubunifu wa watoto ili miaka ijayo tusiwakose wabunifu wetu wenyewe kutokana na kutowafanyia bidii mapema. Na hii ikikamilika Tanzania itakadiriwa kuwa na watu mahiri ukilinganisha tabia nchi na watu wake tunavyoiona.
Mfumo wa habari pia ukabadilika na siyo kuchukua umaarufu wa watu tu na vitu rasimishi Ila kila Jambo lenye kuhitaji msaada wa habari Mara nyingi katika Tanzania ya Sasa, habari nyingi na nzuri hutokea mijini na vijijini Ni Mara chache wakitembelea watu mashuhuri.
Hivyo kwa miaka mitano baadae tumaini kubwa lipo katika teknolojia tukiona kuwa ndo chombo pekee kilichochukua nafasi duniani kwa sasa, ikionesha matatizo, masuluhisho na maendeleo ya maeneo yote hadithi tofauti zikisimuliwa jinsi ambavyo vijiji vitabadilika na kuwa mijini.

Upvote
2