Profesa
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 905
- 624
Miaka 50 tangu uhuru, bado thamani ya pesa yetu haiko planned inapelekwa na insidences zaidi. Nchi za wenzetu wanaangalia import-export relation kudetermine na kufanya projections za strength ya uchumi na wanacheza pamoja na mengine na currency yao. Sijalisikia hili Tanzania. Ninachokiona tunang'ang'ania misaada kujenga uchumi, huku tukijua utumwa tulio nao kwa hao wanaotupa hiyo misaada bila aibu hata budget zetu kwa sasa zinapangwa zikiwa na matarajio ya kuombaomba!! Ule moyo wa Mzee "xxxx"wa kupunguza pengo la budget unafifia kabisa na sioni uwezekano wa kuwa na uchumi unaoweza kuwa forecussed na kuwa planned well ahead of insidences.