Tanzania: The East African Capital of Data Cooking faces World Bank Sanctions over the same

NairobiWalker

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Posts
14,267
Reaction score
14,890
Kuna siku niliweka thread humu kuhusu jinsi Tanzanian government iko in denial over hunger in Tanzania. Sasa hivi World Bank imewaweka kwenye kurunzi. Ukiwasikia wakifoka eti ooh Kenya cooks data jua ni reflection ya kwao.

The World Bank may suspend funding to Tanzania after expressing concerns about new legislation which would punish anyone who questions official statistics.

World Bank could suspend funding to Tanzania over new statistics law | Africanews
 
"May", "could"

.
 
Huu uwongo ulisambazwa na media za Kenya. Pia hakuna pesa ya statistics Tanzania iliomba world Bank. Third but not list hii habari ya zamani sana ..
 
Wb juzi siwalikuwa na mazungumzo na raisi use 600 billion
 
Ukweli utafichuliwa polepole tu. Hii GDP growth yao unawezapata hata iko2.5[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hizo pesa serikali ya Tanzania hatuzitambuiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Latest news kutoka world BankπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Keep up your propagandaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Teh teh teh tihiii
it's known as the "rebasing economy" which overstates the existing GDP figures while other parameters such as income, production, consumption, net export remain constant.
 
Teh teh teh tihiii
it's known as the "rebasing economy" which overstates the existing GDP figures while other parameters such as income, production, consumption, net export remain constant.
Yaani watakopa mpaka kufa to support their overrebased GDP maana tax collection haiwezi support their budget. Halafu mbaya zaidi miradi waliyofikiria ita-boost GDP wame-end up being overcharged!
 
Leo ndio nimejua kwamba Reuters ni shirika la habari la kikenya na World Bank ni ya hapa hapa Nairobi. Kila siku najifunza mapya hapa Jf.
Kila wakibanwa ni Kenyan propaganda. I am sure when a Tanzanian is arrested abroad, he will blame it on Kenyan propaganda.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kila wakibanwa ni Kenyan propaganda. I am sure when a Tanzanian is arrested abroad, he will blame it on Kenyan propaganda.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hakuna hata siku moja nimesikia Mozambican propaganda au Malawian propaganda au hata Ugandan na Rwandan propaganda. Yaani hii nchi inaitwa Kenya ina ushawishi Worldbank, U.N, IMF, Reuters, CNN, BBC, Aljazeera, chafua zote. Alafu huo ushawishi wote huwa unaishia tu kwa masuala yanayohusu Tz pekee yake. Jf kuna magenius!
 
world bank wanazidi kumwaga pesa Tanzania. Wanasema the future of Tanzania is more promising. Kwa sasa miradi ambayo ipo kwenyr progress stage hapa TZ ni more than Tsh 10 Trillion inayo faziliwa na World Bank
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…