Tanzania, the story of Julius Nyerere

Tanzania, the story of Julius Nyerere

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
TANZANIA THE STORY OF JULIUS NYERERE

From the pages of Drum

Picha ya kushoto ni mswada alionipa Jim Bailey mmiliki wa jarida la Drum kuhariri na kutafuta mchapaji yaani "publisher. "

Tulifanikiwa na kitabu kikachapwa na ndiyo hiyo picha ya pili.

Ni katika kazi hii ndipo nilipopata picha adimu za Sheikh Suleiman Takadir, Bi. Chiku bint Said Kisusa, Bi. Tatu bint Mzee wanamsindikiza Julius Nyerere safari ya kwanza UNO 1955 na nyinginezo.

Nimeweka baadhi ya hizo picha zote hapa.

Picha ya tatu kulia Bi. Titi Mohamed, Clement Mohamed Mtamila, Sheikh Suleiman Takadir, Julius Kambarage Nyerere, nyuma kulia John Rupia, Rajabu Diwani, Maria Nyerere 1955.

Picha nne Kulia Bi. Chiku bint Said Kisusa, Bi. Titi Mohamed kushoto Bi. Tatu bint Mzee, Julius Nyerere wanamsindikiza Uwanja wa Ndege safari ya kwanza UNO 1955.

Screenshot_20210821-140854_Facebook.jpg
 
Asante sana naona Kambarage Nyerere alikuwa hajaanza kuvaa Chouen Lai.
 
Back
Top Bottom